Theolojia Katika Picha

/ 1 1

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso (muendelezo)

IV. Kuweka vyote Pamoja: Msingi wa Pamoja wa Kitheolojia na Maana zake Muhimu Yale ambayo Wakristo wa Makanisa ya Reformed na Holiness wanakubaliana kwa pamoja: A. Utakaso ni kuwa kama Kristo na ndio lengo la maisha ya Kikristo. [Maandiko yanatufundisha kwamba [utakatifu] huu ndilo lengo la wito wetu – John Calvin, katika kitabu chake cha “Institutes of the Christian Religion ].

B. Utakaso huanza wakati wa wokovu na sharti pekee linalohitajika ni imani. Tazama (Nyaraka za Fundisho za Mitaguso ya Wamethodisti za mwaka 1744 47).

C. Utakaso huja kwa kuasilishwa na kuingizwa ndani ya mtu na huja kwa neema ya Mungu tu.

D. Utakaso unahusisha hatua ya kipekee ya uamuzi 1 na mchakato unaoendelea wa kuishi kutokana na uamuzi huo.

1 Kwa Theolojia ya Makanisa ya Reformed hatua hii ni kuupokea wokovu, kwa Theolojia ya Makanisa ya Holiness hii ni kuupokea wokovu na tukio la pili la neema la Roho Mtakatifu.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software