Theolojia Katika Picha
/ 1 1 1
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Kipengele cha Oiko Nyanja za Uhusiano na Ushawishi Rev. Dr. Don L. Davis
m
a
n
d
u a
y a
k a
r a
w
l a
a
i l i
Utafiti:- 42,000 waliuliza:- Nani au ni nini kilichowajibika na kukuleta wewe kwa Kristo na Kanisa lako. Haja maalum.................................. 1-2% Kuingia ndani................................. 2-3% Mchungaji...................................... 5-6% Kutembea....................................... 1-2% Shule ya jumapili. ........................... 4-5% Mikutano ya injili/televisheni........... 1/2% Ratiba ya kanisa.............................. 2-3% Rafiki au jamaa........................ 75-90%!!
m
a s
a
h
l a
u s
o
i a
b
n
m
o
J a
Mahusiano ya kawaida ya kiukoo Walioingia katika ukoo kuwa wanafamilia Kufahamiana vizuri na urafiki Wengine muhimu, majirani walio karibu,”marafiki wa marafiki” Washirika na uhusiano Wafanyakazi, maslahi maalum, kikabila, kitaifa, mahusiano ya kitamaduni
~ Kukua kwa Kanisa, Inc. Monrovia, CA
Yenye nguvu kimikakati
Ya kutisha kidogo
Hakuna “Kudharauliana”
Wa kiasili kabisa
Wa msingi Kibiblia
Inafaa kihistoria
Sikivu kiuhusiano
Kaya katika Agano la Kale “Kaya kwa kawaida ilichukua vizazi vinne, ikiwa ni pamoja na wanaume, wanawake waliooa na kuolewa, mabinti, watumwa wa jinsia zote mbili, watu wasio na uraia, na `wasafiri` au mfanyakazi wa kigeni.”Mkazi”
Kaya miongoni mwa masikini mijini Ingawa kunakuwepo tufauti kati ya tamaduni, mahusiano ya ki ukoo, vikundi vyenye masilahi maalum na miundo ya kifamilia mingoni mwa wakazi wa mijini, ni wazi kwamba wakazi wa mijini huungana na wengine zaidi sana kwa misingi ya mwunganiko kupitia udugu, urafiki na familia kuliko ilivyo kwa ukaribu na ujirani tu, mara nyingi urafiki wa karibu sana wa masikini wa wakaaji wa mjini si wale walio karibu sana kwa kuwa tu wana ujirani;ndugu na marafiki wana uwezo kuwa wanaishi mtaa mwingine au umbali wa maili nyingi. Ukichukua muda kujifunza kwa uangalifu miunganiko ya mahusiano miongoni mwa wakazi katika eneo Fulani linaweza kuwa thibitisho la msaada mkubwa katika kuamua mikakati ya kufaa katika uinjilisti na kuwafanya wanafunzai katika mazingira ya ndani ya mji.
~ Hans Walter Wolff, Anthologia ya agano la kale.
Kaya katika Agano Jipya Uinjilisti na kumfanya mwanafunzi katika simulizi za Agano letu Jipya mara nyingi huelezwa kama kufuatilia mtiririko wa uhusiano wa kimtandao wa watu mbali mbali ndani ya kaya zao (okio) yaani zile sababu za asili za muunganiko pale wanapokaa na kuishi (angalia Marko 5:19); Lk.19:9; Yoh.4:53;1:41-45, nk) Andrea na Simoni (Yoh 1:41) na wote Corneliio (Mdo 10:11) na mlinzi wa gereza wa Filipi (mdo 16) ni mambo yanayojulikana sana katika uinjilisti na kuwafanya wanafunzi kupitia kaya (oikoi)
Made with FlippingBook Digital Publishing Software