Theolojia Katika Picha
1 1 8 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Kubainisha Viongozi na Wajumbe wa Timu ya Kupanda Makanisa Mch. Dkt. Don L. Davis
MJ - Mkurugenzi wa Jiji KT - Kiongozi wa Timu KTN - Kiongozi wa Timu Nyingi
Mjumbe wa Timu
Kiongozi wa Timu
Kiongozi wa Timu Nyingi
Mjumbe wa timu ya upandaji makanisa yenye tamaduni mchanganyiko
Kiongozi wa timu ya kupanda makanisa yenye tamaduni mchanganyiko
Mwezeshaji na mratibu wa timu nyingi
Ufafanuzi
Anaweza kuwa mfanyakazi wa World Impact au mpanda makanisa mwenye uzoefu Kutoa ushauri, nyenzo na usaidizi kwa timu zote katika eneo husika Kazi za kozi ya TUMI, ushauri na mafunzo ya kikanda, na mchango maalum wa kitaalamu Mapitio ya mara kwa mara na tathmini ya kina ya huduma mwishoni mwa muda wa utendaji wa wa Timu ya Kupanda Makanisa (TKM). Ufikiwaji wa maeneo ya kazi ya Timu za Kupanda Makanisa, ufikiwaji wa viongozi wa timu kwa ajili ya mafunzo na huduma za usaidizi. Kusaidia timu katika kipindi cha mkataba wake wa kazi, na kuamua mwishoni ikiwa kanisa lililopandwa linahitaji muda na juhudi zaidi. Makamu Mkuu wa Kanda na Mkurugenzi wa Jiji
Uhusiano na World Impact
Anaweza kuwa mfanyakazi mwajiriwa au wa kujitolea
Anaweza kuwa mfanyakazi mwajiriwa au wa kujitolea
Kutumia vipawa ili kuimarisha huduma ya timu inapopanda kanisa lenye uhai
Kuwezesha utendaji kazi wa timu
Wajibu
Mafunzo ya awali na mchango endelevu katika timu
Mtaala wa mafunzo maalum, ushauri wa kibinafsi na TUMI
Mafunzo
Kuwajibika kwa Nani?
Mkurugenzi wa Jiji (msaada kutoka kwa KTN)
Kiongozi wa Timu
Anahusishwa na timu ya kupanda makanisa kwa muda maalum kama mshiriki mkuu au msaidizi
Ahadi za Muda
Katika muda wote wa kupanda kanisa
Wajumbe wa timu na viongozi, “zana” za TKM (mgao wa awali wa rasilimali)
Wajumbe wa Timu, bajeti ya huduma, upatikanaji wa KTN na MJ
Rasilimali
Kufuata hatua muhimu za kuinjilisha, kufuasa na kupanda kanisa – anaripoti kwa kiongozi wa timu
Kuongoza timu katika shughuli zake inapotaka kuanzisha kanisa – anaripoti kwa MJ na KTN
Mamlaka
Na MJ na KT kwa wakati maalum na jukumu maalum
Na MJ kwa muda wa kupanda kanisa
Na Makamu Mkuu wa Kanda na MJ kama watakavyoona inafaa
Mgao
Wajumbe wa msingi, wajumbe wasaidizi, na/ au watu wanaojitolea
Mtu binafsi aliyechaguliwa na Makamu Mkuu wa Kanda na MJ.
Mtu binafsi au viongozi wenza (wafanya kazi wanafunzi)
Muundo
Made with FlippingBook Digital Publishing Software