Theolojia Katika Picha
1 2 4 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Kuelewa Biblia kwa sehemu na kwa Jumla Mch. Don Allsman
Biblia ni maelezo yenye mamlaka ya mpango wa Mungu kumwinua Yesu kama Bwana wa wote, anayekomboa viumbe vyote na kuweka chini maadui wa Mungu milele. Kiini cha. Somo la Biblia ni Yesu Kristo (Yohana 5:39-40):-
• Agano la kale ni matarajio na ahadi ya Kristo • Agano Jipya ni kilele na ukamilishaji katika Kristo
“Agano Jipya limefichwa katika Agano la kale –Agano la kale linadhilishwa katika agano Jipya” Maendeleo ya kupanga matukio:- Mwanzo, kitendo cha kupanda, kilele, kitendo cha kuanguka, suluhisho. 1. Mwanzo :- Uumbaji na kuanguka kwa binadamu (tatizo na haja ya suluhisho). Mwanzo 1.1-3.15 2. Kitendo cha kupanda :- Mpango ya Mungu ulidhihirishwa kupitia Israeli (Mwanzo 3.15 – Malaki) 3. Kilele :- Yesu anaanzisha ufalme wake 4. Kitendo cha kuanguka :- Kanisa linaendeleza kazi ya ufalme wa Yesu 5. Suluhisho :- Yesu anarudi Kukamilisha Ufalme (Ufunuo 4-22) 6. Ufafanuzi :- Watu wa Mungu wanaeleza uzoevu wao kutoa hekima (maandiko ya hekima.”:- Ayubu, Zaburi, Mithali, Muhubiri, Wimbo ulio Bora)
Made with FlippingBook Digital Publishing Software