Theolojia Katika Picha

/ 1 2 5

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Biblia katika mpangilio wa Kitabu

Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Malawi, Hesabu, Kumbukumbu la Torati, Yoshua, Waamuzi, Ruthu, 1-2 Samueli

Historia kutoka uumbaji hadi utawala wa Mfalme Daudi

Historia ya wana waIsraeli kuanzia Daudi hadi utumwani Historia mbalimbali kuanzia uumbaji hadi uhamishoni Maelezo ya wana wa Israeli wakiwa utumwani na kurudi

1-2 Wafalme

1-2 Mambo ya Nyakati

Ezra, Nehemia, Esta

Ayubu (enzi za Ibrahimu), Zaburi (kimsingi ya Daudi), Mhubiri, Wimbo ulio Bora, (wakati wa Sulemani) Isaya, Yeremia, Maombolezo, Ezekieli, Danieli, Hosea, Yoeli, Amosi, Obadia, Yona, Mika, Nahumu, Habakuki, Sefania, Hagai, Zekaria, Malaki.

Maandiko za Hekima

Maandiko ya Manabii wa Israeli kuanzia wakati wa Wafalme hadi kurudi kwao kutoka uhamishoni. Habari za Yesu wa Nazareti (Injili) Habari za Kanisa baada ya kupaa kwake Yesu, pamoja na barua za maelekezo ya mitume kwa kanisa (Nyaraka) Wakati ujao na mwisho wa dahari (Kurudi kwa Yesu)

Mathayo, Marko, Luka, Yohana

Matendo, Warumi, 1-2 Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1-2 Wathesolanike, 1-2 Timotheo, Tito, Filemoni, Wahibrania, Yaroko, 1-2 Petro, 1-3 Yohana, Yuda, Ufunuo

Ufunuo

Made with FlippingBook Digital Publishing Software