Theolojia Katika Picha

1 3 8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

28:10-15

katika Kiti cha Daudi. Nuru ya wokovu wa Mataifa na

kimungu wa Masihi Kufuatilia Uzao

tumaini la Kimasihi

mabadiliko ya kimataifa.

Uzao wa Yuda, Mwa 49:10 Uzao wa Daudi, 2 Sam. 7

katika uaminifu wa agano

Mizizi ya Kiebrania ya Ahadi: YHWH kama Mungu Shujaa

Watu wa Israeli kama jamii ya

Uzao wa Mwanamke, Mwa. 3:15 Uzao wa Shemu, Mwa 9:26-27 Uzao wa Ibrahimu, Mwa 12:3

YHWH kama Mungu wa fadhili

Ugunduzi upya wa asili ya Kiyahudi ya imani ya Biblia, Yohana 4:22

Zaburi na Manabii hukazia utawala wa

Mtumishi wa YHWH anayeteseka: fedheha na unyenyekevu wa mfalme wa Mungu

Utimilifu wa Kimasihi katika Agano la Kale: unabii, kivuli, hadithi, sherehe na ishara

Uzao wa Isaka na Yakobo, Mwa. 26:2-5;

Gundua upya mizizi ya Kiebrania ya tumaini la Kimasihi la Biblia (kurudi)

Nazareti.

Mwakilishe Masihi Yeshua kwa

na muhuri wa Mungu.

shauku na uwazi

kwa uaminifu kwa Maandiko Matakatifu sawa sawa na Fundisho la kihistoria bila

upotoshaji wa kitamaduni wala ubaguzi wa kitheolojia.

kama uliopo dhahiri lakini haujakamilika.

Kanisa la kwanza kama jumuiya ya eskatolojia.

anayeshinda ushindi wa mwisho juu ya adui zake.

Ishi msisimko wa hadithi ya kiapokaliptiki ya AJ (milki)

wa Imani ya Kikristo (uhamisho)

Masihi Yeshua kama Mpakwa mafuta na Mfungaji wa Mtu Mwenye Nguvu: Enzi ya Kimasihi itakayokuja ikianzishwa katika Yesu wa

Apokaliptiki kama “lugha mama na lugha ya asili” ya mitume na

Yeshua Masihi kama Shujaa wa Ulimwengu: YHWH kama Mungu

Mwelekeo wa Ufalme kama ulio “Tayari/Bado”: Utawala wa Mungu

Ushahidi na Dhamana ya Enzi Ijayo: Roho kama arabuni, malimbuko,

Tambua utumwa wa kitamaduni na kijamii

Kuchagua maandiko kwa kuyabagua (kutafuta unachotaka tu) Mapokeo yanatazamwa kama kanuni Usomaji wa kitamaduni wa maandiko Kuhubiri na kufundisha kulingana na eisejesia na hadhira

Hali ya “umataifa” wa namna za kisasa za kuiishi imani ya Kikristo Kuiweka Injili katika Muktadha: uhuru katika Kristo wa kuinjilisha katika muktadha wa utamaduni. Ufafanuzi wa kawaida wa kisasa wa tumaini la Kimasihi kama imani ya Mataifa Mwenendo wa mapokeo/utamaduni kunyakua mamlaka ya kibiblia Hali ya sasa ya kufifishwa au kutekwa kwa mfumo wa kibiblia kama «mateka» Mioto ya kigeni kwenye madhabahu: mifano ya utumwa wa kijamii na kitamaduni Utaifa Uwepo wa mtu binafsi Ubepari Kujinyima/Uadilifu Urazini wa kisayansi Ukabila Udhehebu Maisha ya familia ndogo

Utumwa kwa mapokeo ya kidini, Mt. 15:3-9 Kutojua Maandiko na nguvu za Mungu, Mt. 22:29 Bidii pasipo maarifa, Rum. 10:1-3

Kutoweza kujikosoa kwa habari ya mafundisho na maisha ya mtu mwenyewe Kushindania Imani kwa lengo la kujijengea utambulisho wa kijamii na kitamaduni

Kipofu kwa hali ya kihistoria ya mtu mwenyewe Upeo na mtazamo mdogo

Upendeleo na madaraka: udanganyifu wa kisiasa Kutokuwa na uwezo wa kupokea ukosoaji

Ukatili dhidi ya mitazamo tofauti na kuibua tafsiri mpya za imani

Ukosoaji wa Yesu kuhusu utumwa wa kijamii na kitamaduni

Tabia za Kihemenetiki zinazopelekea kwenye imani mchanganyiko

“Kupooza kwa dhana” na imani ya kibiblia

Kumwasilisha Masihi Mch. Dkt. Don L. Davis

Made with FlippingBook Digital Publishing Software