Theolojia Katika Picha
/ 1 3 9
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
“Kuna Mto” Kujua Namna ya Utendaji Kazi wa Jumuiya ya Kikristo yenye Misingi katika Mji 1 Mch. Dkt. Don L. Davis • Zaburi 46.4 - Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, patakatifu pa maskani zake aliye juu.
Mgawanyiko wa Historia ya Imani ya Biblia yenye Misingi
Muunganiko wa Kihistoria Uliothibitishwa Upya
Utambulisho wa Kibiblia Unaojulikana
Uamsho wa Kiroho wa Urban
Mamlaka ya Kiufalme Yaliyotazamwa Upya
Kanisa ni Moja
Kanisa ni Takatifu
Kanisa ni Kikatoliki
Kanisa ni la Kitume
Wito kwenye Uhuru, Nguvu na Ukamilifu wa Roho Mtakatifu
Wito kwenye Mizizi ya Kihistoria na Muendelezo wake Kukiri utambulisho mmoja wa kihistoria na muendelezo wa imani thabiti ya kikristo Wito wa Kuthibitisha na Kuonyesha Ushirika wa Watakatifu Ulimwengu Kuonyesha ushirikiano na waamini wengine wote, wale wa eneo moja na walio ulimwenguni mwote Wito kwa Ukarimu wa Hali ya Juu na Matendo Mema Kuonyesha upendo wa ufalme kwa wote, na hasa wale wa kaya za imani moja nasi
Wito Kwenye Uaminifu Wa Biblia Kutambua Maandiko kama ndio nanga na msingi wa imani ya Kikristo na utendaji wa kila siku
Wito wa Imani ya Kitume Kuthibitisha desturi za kitume kama msingi halali wa tumaini la kikristo
Kutembea katika utakatifu, nguvu,
vipawa na uhuru wa Roho Mtakatifu katika mwili wa Kristo
Wito wa Kuishi kama Wasafiri na Wageni kama Watu wa Mungu Kufafanua uanafunzi thabiti wa kikristo kama uanachama halali miongoni mwa watu wa Mungu
Wito wa Utambulisho wa Ufalme wa Masihi Kugundua upya hadithi ya Masihi
Wito kwa Mamlaka Wakilishi Kujiweka kwa furaha chini ya watumishi wa Mungu katika Kanisa kama wachungaji wa imani ya kweli
aliyeahidiwa na ufalme wake katika Yesu wa Nazareti
Wito kwa Uhai wa Kiliturujia, Kisakramenti na Katekisi Kuwa ndani ya
Wito kwa Mshikamano wa Imani
Wito kwa Ushuhuda wa Kinabii na Kika milifu Kumtangaza Kristo na ufalme katika Neno na tendo kwa majirani zetu na watu wote
Kushikilia Kanuni ya Imani ya Nikea kama utaratibu tuliopokea wa imani ya kihistoria ya kiothodoksia
uwepo wa Mungu katika muktadha wa Neno, sakramenti na maelekezo
1 Mfumo huu umechukuliwa na unafanana na maarifa ya matamko ya Wito wa Chicago ya mwaka 1977, ambapo wanazuoni wa kiinjilisti na wahudumu kadhaa walikutana kujadili uinjilisti wa kisasa katika imani ya kikristo ya kihistoria.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software