Theolojia Katika Picha

1 4 0 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kuonekana kwa Masihi Aliyefufuka Dr. Don L. Davis

Kuonekana

Andiko

1

Kumtokea Mariamu Magdalena

Yohana 20:11-17; Marko 16:9-11

2

Kuwatokea wanawake

Mathayo 28:9-10

3

Kumtokea Petro

Luka 24:34; 1 Cor. 15:5

4

Kuwatokea wanafunzi njiani wakielekea Emau

Marko 16:12-13; Luka 24:13-35

Kuwatokea wanafunzi kumi, wanaotajwa kama “Kumi na mmoja” (Tomaso akiwa hayupo)

5

Marko 16:14; Luka 24:36-43; Yohana 20:19-24

Kuwatokea wale Kumi na mmoja wiki moja baadaye, Tomaso akiwemo miongoni mwao

6

Yohana 20:26-29

7 Kuwatokea wanafunzi saba kandokando mwa bahari ya Galilaya

Yohana 21:1-23

8

Kuwatokea wale miatano

1 Wakorintho 15:6

9

Kumtokea Yakobo, nduguye Bwana

1 Wakorintho 15:7

10 Appearance to the eleven disciples on the mountain in Galilee*

Mathayo 28:16-20

Kuonekana kwa wanafunzi wake wakati wa kupaa kwake kwenye Mlima wa Mizeituni *

11

Luka 24:44-53; Mdo 1:3-9

Kutokea kwa Stefano kabla ya kifo chake kama shahidi wa kwanza wa Kanisa

12

Matendo 7:55-56

Matendo 9:3-6; rej. 22:6-11; 26:13-18; 1 Kor. 15:8

13

Kumtokea Paulo njiani kuelekea Dameski

14

Kuonekana kwa Paulo huko Arabia

Matendo 20:24; 26:17; Gal. 1:12,17

15

Kumtokea Paulo hekaluni

Matendo 22:17-21; rej. 9:26-30; Gal. 1:18

16

Kumtokea Paulo gerezani Kaisaria

Matendo 23:11

17 Kumtokea Yohana akiwa uhamishoni katika kisiwa cha Patmo

Ufunuo 1:12-20

* Vipengee 10 na 11 vinaeleza matukio yanayojulikana kwa kawaida kama “Agizo Kuu” na “Kupaa,” mtawalia.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software