Theolojia Katika Picha
1 5 2 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Anglikana au wa Protestanti.
Bila shaka mapokeo maalum yataendelea kutafuta kueleza na kuishi katika ahadi zao katika mapokeo yenye mamlaka (yaani maandiko) na mapokeo makuu kwa ibada zao, mafundisho na huduma. Aina tofauti za mapokea ya kikristo, kama yana mizizi katika kuonyesha mafundisho ya maandiko na kuongozwa na Roho Mtakatifu yataendelea kuifanya injili kuwa wazi katika tamaduni mpya au nusu kitamaduni, kuongea na kulifanya tumaini la Kristo katika hali mpya na kulipa sura katika mpangilio wa maswali yao yaliyowekwa katika kuona kwao katika hali ya kipekee. Mapokeo yetu yana azimisha mwenendo wa kufuatisha mazingira, ni kwamba kuna juhudi ya kufanya mambo kuwa tambarare na ni ya makundi ya watu mapokeo ya kimamlaka kwa njia ambayo kwa uaminifu na kufaa kuwaongoza kwenye imani ndani ya Yesu Kristo. Kwa hivyo, tunapaswa kupata njia za kuimarisha utamaduni wetu wa kisasa kwa kuunganisha upya na kukamilisha kutubu na matendo ya kisasa pamoja na Utamaduni Mkuu. Basi tusisahau kuwa Ukristo, kwa msingi wake, ni shahidi mwaminifu wa matendo ya wokovu ya Mungu katika historia. Kwa hivyo, tutakuwa daima watu wanaotafuta kupata ahera yetu kwa kuangalia nyuma kupitia zile nyakati za ufunuo na matendo ambapo kanuni za Mungu ziliwekwa wazi kupitia mwili, shauku, ufufuo, kupaa na Kristo aliyekaribu kuja. Basi tukumbuke, tusherehekee, tutunge upya, tujifunze upya, na kwa shauku tutangaze kile ambacho waumini wametubu tangu asubuhi ya kaburi iliyo wazi – hadithi ya waokovu ya ahadi ya Mungu katika Yesu wa Nazareti kukomboa na kuokoa watu kuwa wake.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software