Theolojia Katika Picha

/ 1 7

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baraka Thelathini na Tatu Katika Kristo (muendelezo)

31. Mwumini anatukuzwa – Rum. 8.18. Atakuwa mshiriki wa hadithi isiyokoma ya Mungu. 32. Mwumini ni kamili katika Mungu – Kol 2.9,10 anashiriki yote ambayo Kristo alivyo. 33. Mwumini ana kila Baraka za kiroho – Efe 1.3. Utajiri wote ulioorodheshwa katika dondoo 32 kabla ya hii zinapaswa kujumlishwa katika neno la jumla “Baraka zote za kiroho”.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software