Theolojia Katika Picha
/ 2 4 5
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Mambo ya Jumla Kuhusu Agano Jipya
Chati Linganishi ya Injili Nne Robert H. Gundry. A Survery of the New Testament. Grand Rapids: Zondervan, 1981.
Makisio ya Tarehe ya Kuandikwa
Hadhira Iliyokusudiwa Kwanza
Makisio ya Mahali Kilipoandikwa
Dhamira na Lengo
Marko
Miaka ya 50
Roma
Wamataifa huko Roma Kazi ya Yesu ya ukombozi
Yesu Masihi wa Kiyahudi, na wanafunzi kama watu wapya wa Mungu
Wayahudi huko Palestina
Mathayo
Miaka ya 50 au 60 Antiokia huko Syria
Wamataifa wenye nia ya kumjua Mungu
Uhakika wa kihistoria wa simulizi ya Injili
Luka
Miaka ya 60
Roma
Watu kwa Ujumla katika Asia Ndogo
Kumwamini Yesu kama Masihi ili kupata uzima wa milele
Yohana
Miaka ya 80 au 90
Efeso
Apokrifa ya Agano la Kale Walter A. Elwell na Robert W. Yarbrough. Encountering the New Testament. Grand Rapids: Baker Books, 1998.
Waumini wa Kanisa Katoliki la Roma na baadhi ya makanisa ya Kiothodoksi ya Mashariki wanatambua vitabu vilivyoorodheshwa hapa chini kama Maandiko. Waprotestanti wanakubali thamani ya kifasihi na umuhimu wa kihistoria wa vitavu hivi lakini hawavichukulii kama vyenye mamlaka ya kiroho.
Yudithi
Sala ya Manase
Nyongeza kwa Esta Baruku
Barua ya Yeremia
Zaburi 151
Bel na Joka
1 Makabayo
Wimbo wa Wayahudi Watatu
Ecclesiasticus (Hekima ya Yesu Mwana wa Sirach)
2 Makabayo
Susana
3 Makabayo
Tobiti
1 Esdra
4 Makabayo
Hekima ya Sulemani
2 Esdra
Sala ya Azaria
Mambo ya Jumla kuhusu Agano Jipya
Made with FlippingBook Digital Publishing Software