Theolojia Katika Picha

/ 2 6 3

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Masihi Yeshua katika Kila Kitabu cha Biblia Imechukuliwa kutoka kwa Norman L. Geisler, A Popular Survery of the Old Testament

Kristo katika Vitabu vya Agano la Kale

1. Uzao wa Mwanamke (Mwanzo 3:15) 2. Mwanakondoo wa Pasaka (Kut. 12:3-4) 3. Dhabihu ya Upatanisho (Law. 17:11) 4. Mwamba Uliopigwa (Hes. 20:8, 11) 5. Nabii Mwaminifu (Kumb. 18:18) 6. Amiri wa Jeshi la Bwana (Yos. 5:15) 7. Mkombozi wa Kiungu (Amu. 2:18) 8. Mkombozi wa Jamaa wa Karibu (Rut. 3:12)

21. Mwalimu Mkuu (Mhu 12:11) 22. Aliye Mzuri Zaidi Kati Ya Elfu Kumi (Wim 5:10) 23. Mtumishi Aliyeteswa (Isa. 53:11) 24. Mtengenezaji wa Agano Jipya (Yer. 31:31) 25. Mtu wa Huzuni (Omb. 3:28-30) 26. Utukufu wa Mungu (Eze. 43:2) 27. Masihi Ajaye (Dan. 9:25) 28. Ampendaye Asiye Mwaminifu (Hos. 3:1) 29. Tumaini la Israeli (Yoeli 3:16)

9. Mpakwa mafuta (1 Sam. 2:10) 10. Mwana wa Daudi (2 Sam. 7:14)

30. Mume (Amo. 9:13) 31. Mwokozi (Oba. 21) 32. Aliyefufuka (Yon. 2:10) 33. Mtawala katika Israeli (Mik. 5:2) 34. Mlipiza kisasi (Nah. 2:1) 35. Mungu Mtakatifu (Hab. 1:13) 36. Mfalme wa Israeli (Sef. 3:15) 37. Tamaa ya Mataifa (Hag. 2:7) 38. Chipukizi la Haki (Zek. 3:8) 39. Jua la Haki (Mal. 4:2)

11. Mfalme Ajaye (1 Fal.) 12. Mfalme Ajaye (2 Fal.)

13. Mjenzi wa Hekalu (1 Nya. 28:20) 14. Mjenzi wa Hekalu (2 Nya. 3-7) 15. Mrejeshaji wa Hekalu (Ezr 6:14, 15) 16. Mrejeshaji wa Taifa (Neh. 6:15) 17. Mlinzi wa Taifa (Esta 4.14) 18. Mkombozi Aliye Hai (Ayu 19:25) 19. Sifa za Israeli (Zab. 150:6) 20. Hekima ya Mungu (Mit. 8:22, 23)

Made with FlippingBook Digital Publishing Software