Theolojia Katika Picha
2 6 4 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Masihi Yeshua katika Kila Kitabu cha Biblia (muendelezo)
Kristo katika Vitabu vya Agano Jipya
1. Mfalme wa Wayahudi (Mt. 2:2) 2. Mtumishi wa Bwana (Mk. 10:45) 3. Mwana wa Adamu (Luka 19:10) 4. Mwana wa Mungu (Yohana 1:1) 5. Bwana Aliyepaa (Matendo 1:10) 6. Haki ya Mwamini (Rum. 1:17) 7. Utakaso Wetu (1 Kor. 1:30) 8. Utoshelevu Wetu (2 Kor. 12:9) 9. Uhuru Wetu (Gal. 2:4) 10. Mkuu wa Kanisa Aliyeinuliwa (Efe. 1:22)
24. Kweli (2 Yohana) 25. Njia (3 Yohana) 26. Wakili (Yuda) 27. M falme wa wafalme na Bwana wa mabwana (Ufu. 19:16)
11. Furaha ya Mkristo (Flp. 1:26) 12. Utimilifu wa Uungu (Kol. 2:9)
13. Faraja ya Waamini (1 The.4:16, 17) 14. Utukufu wa Mwamini (2 The.1:12) 15. Mlinzi wa Mkristo (1 Tim. 4:10) 16. Mthawabishaji wa Mkristo (2 Tim. 4:8) 17. Tumaini Lenye Baraka (Tito 2:13)
18. Mbadala Wetu (Flm. 17) 19. Kuhani Mkuu (Ebr. 4:15) 20. Mpaji wa Hekima (Yak. 1:5) 21. Mwamba (1 Pet. 2:6) 22. Ahadi ya Thamani (2 Pet. 1:4) 23. Uzima (1 Yohana)
Made with FlippingBook Digital Publishing Software