Theolojia Katika Picha

/ 2 6 5

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Masihi Yesu Utimilifu wa Vivuli vya Agano la Kale Imechukuliwa kutoka kwa Norman Geisler, To Understand the Bible, Look for Jesus, pp. 38-41.

Masihi Yesu Anatimiza Aina Za Maskani

Aina za Maskani

Yesu wa Nazareti kama Kielelezoasili

Mimi ndimi Mlango Yohana 10:9

Mlango Mmoja

Anatoa maisha yake kama fidia ya wengi Marko 10:45

Madhabahu ya Shaba

Nisipokuosha huna sehemu nami Yohana 13:8, 10; 1 Yohana 1:7

Birika

Mimi ndimi Nuru ya Ulimwengu Yohana 8:12

Kinara cha taa

Mimi ndimi Mkate wa Uzima Yohana 6:48

Mkate wa Wonyesho

Ninawaombea Yohana 17:9

Madhabahu ya Uvumba

Huu ni mwili wangu Mathayo 26:26

Pazia

Nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo Yohana 10:15

Kiti cha Rehema

Made with FlippingBook Digital Publishing Software