Theolojia Katika Picha
2 6 6 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Masihi Yesu: Utimilifu wa Vivuli vya Agano la Kale (muendelezo)
Kutofautisha Ukuhani wa Haruni na Melkizedeki
Aina ya Ukuhani wa Walawi wa Haruni
Aina ya Ukuhani wa Masihi Yesu (Ukuhani wa Melkizedeki)
Asili ya Aina
Ukuhani wa milele Ebr. 7:21-23
Kuweka wakfu Wa muda na unaopita
Awezaye kuanguka, kuathiriwa na dhambi
Asiye na dhambi na mkamilifu Ebr. 7:26
Kuhani
Ukuhani usiobadilika Ebr. 7:24
Ukuhani
Unaweza kubadilika
Umeleta ukombozi wa milele mara moja kwa wote Ebr. 9:12, 26
Utoaji wa dhabihu wa daima
Huduma
Uwakilishi kamili kati ya Mungu na wanadamu Ebr. 2:14-18
Upatanishi
Uwakilishi usio kamili
Haiwezi na haitoshi kuondoa dhambi za wakosaji
Alitoa dhabihu moja kwa ajili ya dhambi kwa wakati wote Ebr. 10:11-12
Sadaka
Daima anaishi na kufanya maombezi kwa ajili yetu Ebr. 7:25
Iliingiliwa na udhaifu na kifo
Maombezi
Made with FlippingBook Digital Publishing Software