Theolojia Katika Picha

/ 2 7 5

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Matumizi ya Zana za Marejeo kwa ajili ya Kutafsiri Biblia Mch. Dkt. Don L. Davis

Vitabu vya Muongozo vya Kitheolojia, Kamusi, na Masomo

Kamusi za Biblia, Atlasi za Biblia, na Marejeo ya Desturi Kuonyesha masuala ya kale ya historia, utamaduni, desturi za kijamii na/au maisha ya nyakati za Biblia.

Zana za Marejeo na Biblia za Mada za Konkodansi

Kujumuisha maandishi tofauti pamoja kuhusiana na somo husika, dhamira na jambo fulani.

Kuleta ufahamu wa maana ya neno au kauli fulani kulingana na umuhimu wake kithiolijia.

Kusudi

Hatua ambayo kuna faida zaidi

Kufahamu mazingira ya asili na kutafuta kanuni za kibiblia

Kutafuta kanuni za kibiblia

Kufahamu mazingira ya asili

1. Husisha msitari au kifungu cha Maandiko ulichokisoma na dhamira husika. 2. Tafuta neno au dhana ambayo ungependa kuifanyia utafiti. 3. Soma kwa makini historia ya neno katika marejeo au kamusi. 4. Husianisha andiko lako na dhamira, ili kuchukua kile kinachokusaidia na kuachana nacho kile kisicho na umuhimu kwa dhumuni la kujifunza kwako.

1. Chagua kipengele, dhamira, jambo fulani au desturi ambayo unahitaji msaada katika kuielewa. 2. Chunguza kipengele hicho katika maandishi ya marejeo uliyopewa. 3. Zingatia historia ya jambo husika, na kusanya taarifa mpya katika hitimisho lako la jumla kuhusu kifungu hicho cha Maandiko. Taarifa za kutosha sana zimetolewa kuhusu sosholojia mbalimbali, anthlopolojia, masuala ya historia, desturi, jamii, jiografia na taarifa kuhusu mazingira ya asili.

1. Tafuta marejeo ambayo unatamani kupitia. 2. Chambua maandishi mengine yanayohusiana na kifungu cha Maandiko katika marejeo. 3. Husianisha mstari na dhamira husika. 4. Pitia dhamira dhidi ya yale Maandiko yaliyotolewa. Tafuta vifungu vya maandiko kuhusiana na jambo hilohilo katika Biblia nzima. Muhtasari umetolewa ili kukusaidia kuchambua Maandiko yote kuhusiana na masuala tofauti tofauti. Chimbua kwa kina andiko husika KABLA hujaanza kutafuta Maandiko mengine yanayofanana na hilo.

Hatua za kufuata

Kujifunza kwa kina juu ya matumizi mbalimbali ya theolojia na maana za neno, uwekaji wa maneno au kauli fulani husika katika Biblia.

Faida zake

Usichanganyikiwe na matumizi MBALIMBALI na maana za wazo la kitheolojia.

Lenga shabaha yako katika maana ya andiko na sio MUKTADHA wake peke yake.

Tahadhari ya msingi

Inayofaa

Nzuri

Nzuri sana

Bora

Made with FlippingBook Digital Publishing Software