Theolojia Katika Picha

2 7 6 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Matumizi ya Zana za Marejeo kwa ajili ya Kutafsiri Biblia (muendelezo)

Biblia ya Muongozo, Biblia ya Kujifunzia na Vitabu vya Mafafanuzi Kutoa wazo la kitaaluma kuhusiana na historia, muktadha na maana ya andiko. Kuelewa Mazingira ya Asili na kutafuta Kanuni za Kibiblia. 1. Baada ya kuwa umemaliza somo lako la hatua ya mwanzo, chagua kitabu kimoja au viwili vya mafafanuzi na upime kama vinaendana na yale uliyoyagundua katika kujifunza kwako. 2. Chunguza yale uliyoyagundua dhidi ya yale ambayo waandishi 2 mpaka 3 wameyaandika kuona kama maarifa yako yanaendana na maana walizozitoa wao.

Biblia za Mada, Vitabu, na Masomo kutokana na Jumbe maalum Kutoa muhtasari wenye kueleweka sana wa vifungu vya maandiko kuhusiana na dhamira iliyotolewa

Zana Saidizi za Kileksimu, Tafsiri baina ya Mistari, na Masomo ya Neno Kutoa taarifa juu ya maana, matumizi, na sarufi ya maneno ya Biblia na lugha yake.

Kusudi

Hatua ambayo Kuna Faida Zaidi

Kuelewa Mazingira ya Asili na Kutafuta Kanuni za Kibiblia.

Kutafuta Kanuni za Kibiblia

1. Baada ya kuwa umefanya uchunguzi wako, na umefanya maamuzi ya mwanzo kama unavyoamini kwamba hicho ndicho kifungu cha Biblia kinafundisha, onyesha kwenye kifungu hicho dhamira ya kibiblia au kitheolojia. 2. Kwa kutumia dhamira hiyo, angalia katika zana za marejeo ya mada kuchunguza maandishi mengine yanayohusiana na jambo hilohilo moja, na husianisha maana zao katika kujifunza kwako. 3. Usiogope kuboresha ugunduzi wako kama kuna taarifa mpya ambayo inaongeza mwanga katika kile unachojifunza. Uwasilishwaji wa kina na wenye tija kuhusu mada mbalimbali, dhamira na dhana za kitheolojia

1. Chagua maneno au kauli katika kifungu cha Maandiko ambazo zinatumika kama maneno ya msingi ya kuyafafanua ili kuelewa maana ya jumla ya kifungu hicho cha Maandiko. 2. Kwa kutumia konkodansi, leksimu au zana nyingine za kiisimu, tazama maana mbalimbali za neno katika muktadha wa kitabu, mwandishi, wale waliokuwa karibu naye, Biblia na hatimaye wakati wa kuandikwa. 3. Ruhusu maana mbalimbali za kibiblia kuonyesha tofauti ya madai yaliyo katika somo lako juu ya nini kifungu cha Maandiko kilimaanisha kwa wasilikizaji wa asili na nini kinamaanisha leo. Maarifa mwengi ya kitaalamu yameotolewa katika kila hatua ya kutengeneza, kutumia, na kutoa maana ya lugha za Biblia katika mpangilio wao wa kihistoria na kidini. Usijifanye kana kwamba maarifa ya maana za asili YANABATILISHA maarifa muhimu ya andiko katika lugha yako.

Hatua za kufuata

Mawazo bora ya kitaaluma juu ya historia na maana za maandishi mbalimbali katika Maandiko.

Faida

zilizoshughulikiwa katika kifungu cha Maandiko.

Usifanye orodha ndefu ya mada toka kwenye vifungu husika kuwa MBADALA wa kuchunguza kwa kina andiko moja moja na kifungu cha Maandiko ili kupata kweli inayofundishwa.

Fanya utafiti na tafakari yako mwenyewe ya KUTEGEMEA kwenye mawazo ya mtafsiri wako unayempenda zaidi

Tahadhari ya Msingi

Inayofaa

Nzuri

Nzuri

Bora

Made with FlippingBook Digital Publishing Software