Theolojia Katika Picha

/ 2 9 1

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Mifumo ya Upandaji Makanisa (muendelezo)

f. Mfumo wa Kanisa la Nyumbani – kanisa ambalo, ingawa ni sawa na mfumo wa kanisa la seli, limepandwa kimakusudi kwa kuzingatia zaidi mamlaka na uhuru wa kukusanyika kwa Wakristo wanaokutana mara kwa mara katika nyumba zao. g. Mfumo wa kimishenari – kanisa ambapo mpanda kanisa wa utamaduni tofauti anatafuta kupanda kanisa kati ya watu ambao hawajafikiwa akiwa na nia tangu mwanzo ya kulisaidia kanisa kujieneza, kujitawala, na kujitegemeza.

3. J e, ni masuala gani muhimu (k.m., utamaduni, mapokeo ya wapanda kanisa, na muktadha) ambayo yanafaa kuzingatiwa zaidi katika kuchagua mfumo unaofaa katika upandaji wa kanisa lenye utamaduni mchanganyiko mjini?

4. K ati ya mambo yote ambayo mpanda makanisa anaweza kufahamu, ni nini unaamini ni kipengele kikuu anachopaswa kuelewa ili kuchagua chaguo “sahihi” kwake?

Mfumo wa Kimishenari wa Kawaida

Mfumo wa Kanisa Mama ( Beachhead )

Mfumo wa Mchungaji Mwanzilishi

Ni Mfumo gani wa Kupanda Kanisa Ulio Bora kwa Timu Yetu?

Mfumo wa Kanisa la Nyumbani

Mfumo wa Ukoloni

Mfumo wa Kanisa Seli

Mifumo Mseto Mingine?

Made with FlippingBook Digital Publishing Software