Theolojia Katika Picha

/ 3 0 7

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Muhtasari wa Awamu za Mpango wa Kupanda Kanisa Mch. Dkt. Don L. Davis Fanya Maandalizi Anza Kazi Kusanyika Lea Kipindi cha Mpito Ufafanuzi Kuunda timu ya washirika wenye wito ambao wako tayari kuanzisha kanisa chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu. Kupenya katika jamii iliyochaguliwa kwa kufanya matukio ya uinjilisti katikati ya walengwa. Kukusanya seli za waongofu pamoja ili kuunda kusanyiko la waamini la mahali pamoja, kutangaza kanisa jipya kwa majirani katika jamii. Kukuza ufuasi wa washirika na uongozi, kuwawezesha washirika kutenda kazi katika karama zao za kiroho, na kuanzisha mifumo imara ndani ya kusanyiko la Kikristo. Kuliwezesha kanisa kuelekea katika uhuru kwa kuwaandaa viongozi kwa ajili ya kujisimamia, kuwakabidhi madaraka, na kuweka mifumo ya kuliwezesha kanisa kujitegemea kifedha. Kusudi Mtafute Mungu kwa habari ya makundi na jamii lengwa, uundaji wa timu yako ya kupanda kanisa, uratibu wa maombezi ya kimkakati kwa ajili ya jamii husika, na kufanya utafiti juu ya mahitaji na fursa zake. Hamasisha timu na sajili watenda kazi wa kujitolea kwa ajili ya kufanya matukio endelevu ya uinjilisti na huduma za jamii ili kuwaleta jamaa na majirani kwa Kristo. Unda vikundi seli, madarasa ya Biblia, au ushirika wa nyumbani kwa ajili ya ufuatiliaji, uinjilisti na ukuaji endelevu kuelekea kuzaliwa rasmi kwa kanisa. Kuza ufuasi wa mtu binafsi na wa kikundi kwa kujaza majukumu muhimu katika Mwili kulingana na mzigo na karama za washirika. Waweke wakfu washirika na wazee, weka mchungaji, na endelea kukuza ushirikiano wa kanisa na makusanyiko au madhehebu mengine Sitiari ya Mzazi na Mtoto Uamuzi na Kuchukua Ujauzito Matunzo ya Kabla ya Uzazi Kuzaa Makuzi na Malezi Ukomavu hadi Utu Uzima Maswali ya Kuzingatia Wakati wa Mazungumzo Maswali kuhusu: • Kuandaa timu yako • Jamii inayolengwa • Mipango ya kimkakati ya maombi • Utafiti wa demografia Maswali kuhusu: • Aina na idadi ya matukio ya uinjilisti • Mawasiliano na matangazo ya matukio • Kuajiri na kuratibu wafanyakazi wa kujitolea • Utambulisho na jina la kampeni Maswali kuhusu: • Ufuatiliaji na ujumuishaji wa waamini wapya • Muundo wa maisha ya kikundi kidogo • Mpangilio wa ibada ya hadhara • Mifumo na taratibu za awali za kanisa Maswali kuhusu: • Kufuasa watu binafsi na viongozi • Kusaidia washirika kutambua vipawa na mizigo (timu) • Sifa za uongozi • Utaratibu wa kanisa, utawala na nidhamu Maswali kuhusu: • Usajili • Mahusiano na Ushirika • Kukabidhi uongozi • Mpito wa kimishenari • Uzalishaji endelevu

Kutegemea uwezo wa Roho

Utawala wa Ubaba unaominya uhuru wa maamuzi, au kutoa uhuru haraka Pana kijiti ukiwa na

imani kwamba Roho

ataendelea kutenda kazi

Kuzingatia msingi wa uaminifu

na usimamizi wa kiimla

Zingatia kuwekeza

kwa watu waaminifu

(viongozi watarajiwa)

• Maisha ya awali ya

Mwili na ukuaji wake

• Kanisa kujenga mazingira rafiki kiutamaduni

Uwazi kwa Bwana Ujasiri wa kuifikia jamii Hekima ya kutambua wakati wa Mungu

Vitisho na majivuno Woga na kutokuwa na subira Kupuuzia mambo muhimu Ingia katika jukumu na maono yako kwa ujasiri na imani Sherehekea tangazo la kanisa lako kwa furaha

Utendaji kwa msingi wa dhahania na “kupooza kwa uchambuzi yakinifu”

Kuza mazoea ya kuwa na kipindi cha kusikiliza na kutafakari

Sifa Kuu

Mambo Muhimu ya Kuepuka

Jumla ya Mambo

Made with FlippingBook Digital Publishing Software