Theolojia Katika Picha

3 2 8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Muhtasari wa Vielelezo vya Mchakato wa Kupanda hadi Kuzaa Kanisa Mch. Dkt. Don L. Davis

Awamu za Upandaji Kanisa Zikilinganishwa na Uzazi wa Mtoto

Mfumo wa World Impact

Mkazo Wakati wa Awamu Mahususi ya Uzazi

Kupata ahadi za maazimio ya kuzaa na kulea kutoka kwa wazazi wenye sifa na vigezo

Kuazimia Kulea

Timu kuu, watu wa kujitolea wamekusanywa/kuandaliwa, kanisa mama limeshirikishwa, makundi na jamii lengwa wamebainishwa, wamefanyiwa utafiti na mawasiliano nao yamefanyika. Ufikiaji endelevu, ushirika katika vikundi vidogo, kuratibu ufikiaji wa ndani ya familia/ndugu/jamaa na watu wa karibu Tangazo la kusanyiko na ibada ya hadhara, kusherehekea vikundi vilivyokusanyika Kujenga misingi, kuanzisha huduma muhimu, kuweka mifumo, kufikia uhuru wa uongozi “Utu uzima” wa kusanyiko, kanisa jipya kama kituo cha ufalme: Nasaba ya kiroho inayopanda makanisa mapya.

Fanya maandalizi

Kutunga mimba ya maono

Kuanza Kazi

Matunzo ya Kabla ya Uzazi

Kusanyika

Kuzaliwa

Kulea

Ukuaji kuelekea Ukomavu

Kipindi cha Mpito

Kuzaa zaidi (maongezeko)

Made with FlippingBook Digital Publishing Software