Theolojia Katika Picha

/ 3 2 7

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

15. 1 Timotheo – Serikali na utulivu katika kanisa la mahali pamoja a. Imani ya kanisa b. Sala ya wazi na sehemu ya wanawake katika kanisa c. Maafisa katika kanisa d. Uasi katika kanisa e. Majukumu ya maafisa katika kanisa 16. 2 Timotheo – uaminifu katika siku za uasi a. Mateso ya injili b. Juhudi katika Kanisa c. Kuja kwa uasi mamlaka ya kanisa d. Utii kwa Bwana 17. Tito – Agano jipya ulio bora a. Kanisa ni shirika b. Kanisa ni kufunza na kuhubiri neno la Mungu c. Kanisa ni kutenda kazi nzuri 18. Filemoni – inaonyesha upendo wa Kristo na kufundisha upendo wa kindugu a. Salamu kunjufu kwa filemoni na familia b. Sifa nzuri ya Filemoni 19. Waebrania –ukuu wa Kristo a. Mafundisho – Kristo ni bora kuliko uchumi wa agano la kale b. Vitendo – Kristo analeta faida bora na majukumu 20. Yakobo – maadili ya ukristo a. Kujaribiwa kwa Imani b. Ugumu wa kutawala ulimi c. Onyo dhidi ya kuipenda dunia d. Maonyo katika kutazamia kuja kwa Bwana 21. 1 Petro – matumaini ya mkristo wakati wa mateso na majaribu a. Mateso na usalama wa waumini b. Mateso na maandiko c. Mateso na mateso ya Kristo d. Mateso na kurudi kwa mara ya pili kwa Kristo c. Ombi la rehema kwa ajili ya Onesimus d. Asiye na hatia badala ya mwenye haki e. Kielelezo cha utukufu kwa makosa ya kupakaziwa f. Ombi la kawaida na binafsi

22. 2 Petro – onyo dhidi ya walimu wa uongo a. Uzidishaji wa neema ya Mkristo unatoa uhakika b. Mamlaka ya maandiko c. Uasi uliingizwa na ushuhuda wa uongo d. Fikra kuelekea kurudi kwa Kristo e. Ajenda ya Mungu kwa dunia f. Kemeo kwa waumini 23. 1 Yohana – Familia ya Mungu a. Mungu ni nuru b. Mungu ni upendo c. Mungu ni uzima 24. 2 Yohana – onyo dhidi ya kupokea wadanganyifu a. Tembea katika ukweli b. Pendaneni ninyi kwa ninyi c. Usiwapokee waongo d. Pata furaha kwenye ushirika 25. 3 Yohana – maonyo kuwapokea waumini wa kweli a. Gayo, ndugu katika kanisa b. Diotrefe c. Demetrio 26. Yuda – kuishindania imani a. Fursa ya waraka b. Kutokea kwa uasi c. Kazi ya waumini katika siku za uasi 27. Ufunuo wa Yohana – Kufunuliwa kwa Kristo mtukufu a. Utu wa Kristo katika utukufu b. Umiliki wa Yesu Kristo – kanisa katika dunia c. Ratiba ya Yesu Kristo – Mandhari mbinguni d. Mihuri saba e. Tarumbeta saba f. watu muhimu katika siku za mwisho g. Bakuli saba h. Anguko la Babeli i. Hali ya milele

Made with FlippingBook Digital Publishing Software