Theolojia Katika Picha

3 2 6 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Agano Jipya 1. Mathayo – Yesu mfalme a. Mtu wa mfalme b. Matayarisho ya mfalme c. Uenezi wa mfalme d. Ratiba ya mfalme e. Shauku ya mfalme f. Uwezo wa mfalme 2. Marko – Yesu mtumishi

8. 2 Wakorintho – huduma ya kanisa a. Faraja ya Mungu

b. Matoleo kwa ajili ya maskini c. Kuitwa kwa mtume Paulo 9. Wagalatia – Kuhesabiwa haki kwa imani a. Utangulizi b. Binafsi – mamlaka ya mtume na utukufu wa injili c. Mafundisho – kuhesabiwa haki kwa imani d. Vitendo – utakaso kwa Roho Mtakatifu e. Hitimisho Kwa mkono wake mwenyewe na maonyo 10. Waefeso – kanisa la Yesu Kristo a. Mafundisho – mwito wa kimbigu wa kanisa - Mwili - Hekalu - Siri/fumbo b. Vitendo – mwenendo wa kidunia wa kanisa - Mtu mpya - Bibi arusi - Jeshi 11. Wafilipi – furaha katika maisha ya Kikristo a. Falsafa ya maisha ya Kikristo b. Mfumo wa maisha ya kikristo c. Tuzo kwa maisha ya Kikristo d. Uwezo wa kuishi Kikristo 12. Wakolosai – Kristo ukamilifu wa Mungu a. Mafundisho – Kristo, ukamilifu wa Mungu, katika Kristo waumini wanakamilishwa b. Vitendo – Kristo, ukamilifu wa Mungu; maisha ya Kristo yalimwagwa ndani ya waumini na kupitia kwao 13. 1 Wathesolanike – kuja mara ya pili kwa Kristo c. Ni matumaini yanayotakasa d. Ni matumaini yanayofariji e. Ni matumaini yanayoibua na kuchochea 14. 2 Wathesolanike – kurudi mara ya pili kwa Kristo a. Mateso ya waumini sasa; hukumu ya wasioamini baadaye (wakati wa kuja kwa Kristo) b. Ratiba ya Dunia kuhusiana na ujio wa Kristo c. Masuala ya kivitendo yanayohusiana na kuja kwa Kristo a. Ni matumaini yenye msukumo b. Ni matumaini yanayofanya kazi

a. Yohana anamtangulia mtumishi b. Mungu Baba anamtambulisha mtumishi c. Majaribu yanamwingiza mtumishi d. Kazi na neno la mtumishi e. Kifo, mazishi, ufufuo a. Kuzaliwa na familia ya mtu mkamilifu b. Kujaribu ya binadamu kamili; mji c. Huduma ya mtu mkamili d. Usaliti, jaribio, na kifo cha mtu mkamili e. Ufufuo wa mtu mkamili

3. Luka – Yesu Kristo mtu mkamilifu

4. Yohana – Ye s u Kristo ni Mungu a. Dibaji –kufanyika mwili b. Utangulizi c. shahidi wa kazi na maneno

d. Ushahidi wa Yesu kwa mitume wake e. Mateso ushahidi kwa dunia f. Hitimisho 5. Matendo – Roho Mtakatifu kufanya kazi katika kanisa a. Bwana Yesu kazini kwa Roho Mtakatifu kupitia mitume katika Yerusalem

b. Katika Yuda na Samaria c. Hadi mwisho wa dunia 6. Warumi – Haki ya Mungu a. Salamu b. Dhambi na wokovu c. Utakaso d. Mapambano

e. Maisha yaliyojazwa na roho f. Usalama wa wokovu g. Kubaguana

h. Dhabihu na huduma i. Kuachana na kuagana 7. 1 Wakorintho – U Bwana wa Kristo a. Salamu na shukrani b. Hali katika mwili wa wakorintho c. Inayohusu injili d. Inayohusu matoleo

Made with FlippingBook Digital Publishing Software