Theolojia Katika Picha
/ 3 2 5
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
31. Obadia – Kuharibiwa kwa Edomu a. Uharibufu ulitabiriwa b. Sababu za kuharibiwa c. Baraka za Israeli siku za baadaye 32. Yona – wokovu wa watu wa mataifa a. Yona anaasi b. Wengine wanateseka c. Yona anaadhibiwa d. Yona anatii; maelfu wanaokolewa e. Yona hakupendezwa, hana upendo kwa roho za watu. 33. Mika – dhambi ya Israeli, hukumu, na urejeshwaji a. Dhambi na hukumu b. Neema na urejeshwaji wa baadaye c. Maombi na maombezi 34. Nahumu – Ninawi yahukumiwa a. Mungu anachukia dhambi b. Maangamizi ya Ninawi yatabiriwa c. Sababu za maangamizi 35. Habakuki – wenye haki wataishi kwa imani a. Malalamiko ya dhambi ya Yuda isiyohukumiwa b. Chaldean wataadhibiwa c. Malalamiko ya uovu wa Chaldean d. Ahabu kuahidiwa e. Ufufuo wa maombi; imani kwa Mungu 36. Sefania – uvamizi wa Babeli ulibashiri siku ya Bwana a. Hukumu ya Yuda inatangulia siku kuu ya Bwana b. Hukumu ya Yerusalem na majirani inakuwa mbele ya hukumu ya mwisho kwa mataifa yote. c. Israeli kurejeshwa baada ya hukumu 37. Hagai – kujengwa tena kwa hekalu a. Uzembe b. Ujasiri c. Utengo d. Hukumu 38. Zekaria – kuja mara mbili kwa Kristo a. Maono ya Zekaria b. Swali la Betheli; jibu la Yehova c. Kuanguka kwa mataifa na wokovu 39. Malaki – kutelekezwa
21. Mhubiri – Kiburi a. Majaribio
b. Uchunguzi c. Uangalifu d. Wimbo ulio Bora – hadithi ya upendo 22. Wimbo ulio Bora –Hadithi ya upendo 23. Isaya - haki (hukumu) na neema (faraja) ya Mungu a. Unabii wa adhabu b. Historia c. Unabii wa Baraka 24. Yeremia – dhambi za Yuda zinapelekea kwenye utumwa wa Babeli a. Mwito wa Yeremia; wapewe nguvu b. Yuda ahukumiwa; alitabiriwa utumwa Babeli c. Urejeshwaji wa ahadi d. Hukumu iliyoahidiwa ya wateseji e. Unabii dhidi ya mataifa f. Muhtasari wa utmwa waYuda 25. Maombolezo – omboleza juu ya Yerusalem a. Mateso ya Yerusalem b. Kuharibiwa kwa sababu ya dhambi c. Mateso ya nabii d. Ukiwa wa sasa na fahari iliyopita e. Omba huruma kwa Mungu 26. Ezekieli – Utumwa wa Israel na urudishwaji a. Hukumu kwa Yuda na Yerusalem b. Hukumu kwa watu wa mataifa c. Israeli kurejeshwa; Utukufu wa Yerusalem ya baadaye 27. Danieli – Wakati wa watu wa mataifa a. Historia; Nebukadreza, Belshaza, Danieli b. Unabii 28. Hosea – Kutokuwa mwaminifu a. Kutokuwa mwaminifu b. Adhabu c. Urejeshwaji 29. Yoeli – siku ya Bwana a. Tauni na nzige b. matukio ya siku ya Bwana ya baadaye c. utulivu wa siku ya Bwana siku za baadae
30. Amosi – Mungu anahukumu dhambi a. Majirani wanahukumiwa b. Israeli kuhukumiwa c. Maono ya hukumu inayokuja d. Baraka za hukumu iliyopita ya Israel
a. Dhambi kuhani b. Dhambi za watu c. Waaminifu wachache
Made with FlippingBook Digital Publishing Software