Theolojia Katika Picha

3 2 4 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Muhtasari wa Maandiko Mch. Dkt. Don L. Davis

Agano la Kale 1. Mwanzo – Asili a. Adamu b. Nuhu c. Ibrahimu

12. 2 Wafalme – ufalme uliogawanyika a. Elisha

b. Israeli (kuanguka kwa ufalme wa kaskazini) c. Yudah (kuanguka kwa ufalme wa kusini) 13. 1 Mambo ya Nyakati – mpango wa Daudi wa hekalu a. Nasaba b. Mwisho wa utawala wa Sauli c. Utawala la Daudi d. Maandalizi ya hekalu 14. 2 Mambo ya Nyakati – hekalu na ibada zaachwa a. Sulemani b. Wafalme wa Yudah 15. Ezra – wachache (mabaki) a. Kurudi mara ya kwanza kutoka uhamisho – Zerubabeli b. Kurudi kwa mara ya pili kutoka uhamishoni – Ezra (Kuhuni) 16. Nehemia – kujenga kwa imani a. Kujenga ukuta b. Uamsho c. Matengenezo ya kidini 17. Esta – mwokozi wa kike a. Esta b. Hamani c. Mordekai d. Ukombozi:- sherehe ya purim 18. Ayubu – Kwanini wenye haki wanateseka a. Ayubu wa Mungu b. Wa kimungu huteseka -ukombozi c. Mungu anashughulikia Israeli d. Mateso ya watu wa Mungu – huishia kwenye utawala wa Bwana e. Neno la Mungu (Mateso ya Masihi na kurudi kwa utukufu) 20. Mithali – Hekima a. Hekima dhidi ya upumbavu b. Sulemani c. Sulemani – Hezekia d. Agur e. Lemueli b. Shambulio la shetani c. Marafiki waki falsafa d. Mungu yu hai 19. Zaburi – Maombi na sifa a. Maombi ya Daudi

d. Isaka e. Yakobo f. Yusufu

2. Kutoka – Ukombozi (kutoka) a. Utumwa b. Ukombozi c. Sheria d. Maskani 3. Mambo ya Walawi – Ibada na Ushirika a. Sadaka na dhabihu b. Makuhani c. Sikukuu na sherehe 4. Hesabu – Huduma na Matembezi

a. Tengeneza b. Mizunguko 5. Kumbukumbu la Torati – Utii

a. Musa anapitia historia na sheria b. Sheria za nchi na jamii c. Agano la Kipalestina d. Baraka za Musa na kifo

6. Yoshua – Ukombozi (ndani ya) a. Kuteka nchi b. Kugawa nchi c. Kuaga kwa Yoshua 7. Waamuzi – Ukombozi wa Mungu a. Uasi na hukumu

b. Waamuzi kumi na wawili wa Israeli c. Kutokuwa na sheria

8. Ruthu – Upendo a. Ruthu achagua b. Ruthu afanyakazi c. Ruthu asubiri

d. Ruthu apata thawabu 9. 1 Samueli – Wafalme, Mtazamo ya Kikuhani a. Eli b. Samueli c. Sauli d. Daudi 10. 2 Samueli – Daudi a. Mfalme wa Yudah (miaka 9 – Hebron) b. Mfalme wa Israeli yote (miaka 33 – Yerusalemu) 11. 1 Wafalme – utukufu wa Sulemani, kushuka kwa ufalme

a. Utukufu wa Sulemani b. Ushukaji wa ufalme c. Eliya nabii

Made with FlippingBook Digital Publishing Software