Theolojia Katika Picha
5 2 0 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
cha huduma yetu Luka 17:9-10
tu yaliyotupasa kufanya. Luka 18:11-12
mapato yangu yote.
Wagalatia 1:10
Je! Atampa asante yule mtumwa, kwa sababu ameyafanya aliyoagizwa? 10 Vivyo hivyo nanyi, mtakapokwisha
Kuandika mpangilio na kiwango
kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; tumefanya
Roho ya ushindani na kiburi
Kutafuta kukubaliwa na watu badala ya kukubaliwa na Mungu Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au
Yule Farisayo akasimama akiomba hivi moyoni mwake; Ee Mungu, nakushukuru kwa kuwa mimi si kama watu wengine, wanyang’anyi,wadhalimu,wazinzi,wala
kama huyu mtoza ushuru. 12Mimi nafunga mara mbili kwa juma; hutoa zaka katika
nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza
wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo.
Thesalonike.
Vikwazo kwa Utumishi
Matendo 5:1-2
Unaofanana na Kristo
Fikra za kidunia 2 Timotheo 4:10a
Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda
Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali, 2
akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume.
Kutoa ili tu kuonekana na wengine
binafsi
Wafilipi 2:21
ya kuwajenga ninyi.
2 Wakorintho 12:19
Maana wote wanatafuta vyao wenyewe, sivyo vya Kristo Yesu.
Kujishughulisha na maslahi
Luka 10:40
Kujibu kwa shari na kujihami
Mwadhani hata sasa ya kuwa najidhuru kwenu! Mbele za Mungu twanena katika Kristo. Na hayo yote, wapenzi, ni kwa ajili
mwambie anisaidie.
Kusisitiza kuhusu wengine kutofanya sehemu yao kwa haki
Lakini Martha alikuwa akihangaika kwa utumishi mwingi; akamwendea, akasema, Bwana, huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniacha nitumike peke yangu? Basi
Vikwazo kwa Utumishi Unaofanana na Kristo Don L. Davis
Made with FlippingBook Digital Publishing Software