Theolojia Katika Picha
/ 5 2 1
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Ukristo kama Uzalendo, Maono ya Kisiasa,
na Ustawi wa Familia
Ukristo kama Maadili, Ustahifu, na Uadilifu wa Tabaka la Kati
Ukristo kama
Mafundisho na Theolojia
(kinyume na Mashariki au imani zingine za kidini)
Ukristo kama Dini ya Magharibi Pekee
kwa
Ukristo
kama kiapo cha utii
Yesu wa Nazareti
Ukristo kama Harakati za
Kusaka Mafanikio na Baraka
Ukristo kama
Ukuaji na Maendeleo Binafsi
Ukristo kama
Fadhili, Sadaka,
na Haki ya Jamii
Ukristo kama
Ustawi katika Ndoa na Maendeleo ya Familia
Vipau mbele Mbadala wa Maono Yenye Msingi katika Kristo Mambo na Matokeo Ambayo Utamaduni Wetu Huchukulia Kuwa ya Muhimu Zaidi Mch. Dkt. Don L. Davis
Made with FlippingBook Digital Publishing Software