Theolojia Katika Picha
5 2 2 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Viwango vya Mamlaka Vinavyotolewa kwa Matokeo ya Matumizi ya Agano la Kale katika Msingi wa Kristo Mch. Dkt. Don L. Davis
Agano la Kale linahusiana na Agano Jipya, na kwa msaada wa Roho Mtakatifu na uthibitisho wa Maan diko tunaweza kuchunguza uhusiano huu kati ya watu na matukio ya Agano la Kale ili kuelewa jinsi yanavyomshuhudia na kutumika kama vivuli vya Masihi, Yesu wa Nazareti.
Isiyo ya kibiblia Ya kukubalika Yenye Kushawishi Ya lazima kufuata
Kukanusha Maandiko
Kinachoweza kuthibitishwa kibiblia
Uzushi
Kinachoshikiliwa na Wakristo
Kukana ukweli wa kihistoria
Kila mahali
Wakati wote
Katika maeneo yote
Makosa ya kuepuka:
1. Kudhani kwamba hakuna uhusiano uliopo
Ebr. 5:11-14; 1 The.5:21; Yoh. 7:24; Isa. 8:19-20
2. Kudhani kwamba kuna kitu, lakini hatuwezi kukiona
3. Kuchukulia kuwa kuna kitu, ninaweza kukiona, lakini sihitaji kuthibitisha ushirika wangu
Made with FlippingBook Digital Publishing Software