Theolojia Katika Picha

/ 5 2 3

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Washiriki wa Timu ya Paulo Mch. Dkt. Don L. Davis

Akaiko , Mkorintho aliyemtembelea Paulo huko Filipi, 1 Kor. 16:17. Arkipo , mwanafunzi wa Kolosai ambaye Paulo alimsihi kutimiza huduma yake, Kol. 4:17; Flm. 2. Akila , mfuasi Myahudi ambaye Paulo alikutana naye kule Korintho, Mdo 18:2, 18, 26; Rum. 16:3; 1 Kor. 16:19; 2 Tim. 4:19. Aristarko , aliyekuwa pamoja na Paulo katika safari ya 3, Mdo 19:29; 20:4; 27:2; Kol. 4:10; Flm. 24. Artema , mwandamani wa Paulo huko Nikopoli, Tito 3:12. Barnaba , Mlawi, binamu yake Yohana Marko, na mwandamani pamoja na Paulo katika safari zake kadhaa, kama vile Mt. Mdo 4:36, 9:27; 11:22, 25, 30; 12:25; sura ya 13, 14, na

15; 1 Kor. 9:6; Gal. 2:1, 9, 13; Kol. 4:13. Karpo , mfuasi kutoka Troa, 2 Tim. 4:13. Klaudia , mfuasi wa kike wa Roma, 2 Tim. 4:21. Klementi , Mtenda kazi mwenza huko Filipi, Flp. 4:3. Kreske , mfuasi huko Rumi, 2 Tim. 4:10.

Dema , msaidizi wa Paulo huko Rumi, Kol. 4:14; Flm. 24; 2 Tim. 4:10. Epafra , mtenda kazi na mfungwa mwenza, Kol. 1:7, 4:12; Flm. 23. Epafrodito , mjumbe kati ya Paulo na makanisa, Flp. 2:25, 4:18. Eubulo , mfuasi wa Rumi, 2 Tim. 4:21. Euodia , mwanamke Mkristo wa Filipi, Flp. 4:2 Fortunato , sehemu ya timu ya Korintho, 1 Kor. 16:17. Gayo , 1) mwandamani wa Makedonia, Mdo 19:29; 2) mfuasi/mwandamani huko Derbe, Mdo 20:4. Yesu (Yusto) , mfuasi wa Kiyahudi huko Kolosai, Kol. 4:11. Yohana Marko , mwandamani wa Paulo na binamu yake Barnaba, Mdo 12:12, 15; 15.37, 39; Kol. 4:10; 2 Tim. 4:11; Flm. 24. Lino , Mwandamani wa Kirumi wa Paulo, 2 Tim. 4:21. Luka , tabibu na msafiri pamoja na Paulo, Kol. 4:14; 2 Tim. 4:11; Flm. 24.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software