Theolojia Katika Picha

/ 5 5

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)

2. Inazingatia historia ya Kanisa, yaani, kile ambacho Kanisa limefanya katika utendaji wake wa kihistoria ili kuleta utukufu na heshima kwa Mungu. 3. Matumizi ya mantiki na sosholojia B. Mielekeo ya kutokuwa na kina: tatizo la kupuuza ibada ya kihistoria ya Kanisa 1. Kujenga tabia ya kupuuza kila kitu ambacho kimepita, kuzingatia kile tunachopenda na ambacho tumekuwa tukifanya. 2. Kupuuza utendaji wa nguvu za Roho katika nyakati za zamani. 3. Kukataa upako ambao Mungu amewapa watu wake katika kila zama. 4. Kuwadhulumu wale unaowaongoza kwa kuwatenga na kaka na dada zao wa zamani. C. Maoni kuhusu Theolojia ya Liturujia 1. Mtazamo wa Anabaptisti : rejesha mfumo wa Ibada ya Agano Jipya bila kubadilisha chochote. 2. Mtazamo wa Kilutheri, Anglikana, Reformed : kanuni za kibiblia na mabadiliko ya mazingira. 3. Mfumo wa Sinagogi ya Kiyahudi : uvumbuzi (mambo yaliyojumuishwa katika mfumo wa sinagogi ya Kiyahudi ambayo hayakuwemo katika Agano la Kale). 4. Mfumo wa Kikristo wa kihistoria : kitamaduni, unabadilika, msingi wa Maandiko. D. Theolojia ya Kidoksolojia (rej. Robert Webber) 1. Jinsi ibada ya Kiyahudi na ya Kikristo inavyoweza kutoa mwanga kwa theolojia. 2. Kueleza kwa usahihi nini uhusiano kati ya theolojia na ibada, Flp. 2:5-11. 3. Muhtasari wa kihistoria wa theolojia kupitia elimu ya kina ya ibada.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software