Theolojia Katika Picha
5 4 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)
F. Kuabudu kama kusujudu katika maombi ( segid ), Dan.3:5-7, 10-12, 14-18, 28 G. Kuabudu kama ukaribu na Mungu ( nagash ), Zab. 69:18; Isa. 58:2
II. Ili Kuwa Kiongozi Bora wa Ibada ni Lazima Zaidi ya Mengine Yote Kuwa Mwabudu Mzuri. A. Kielelezo: kanuni kuu ya ufuasi wa Kikristo 1. Luka 6:40 2. 1 Tim. 4:6-16 3. 1 Kor. 11:1
4. 1 Kor. 15:1-4 5. Flp. 3:12-15 6. Flp. 4:6-9 7. 1 Pet. 5:1-4
B. Mungu anataka tumwabudu katika roho na kweli (Yohana 4:34)
C. Kwa shauku ya moyo wote: wakuu watatu 1. Musa, Kut. 33-34 2. Daudi, Zab. 27:1-; 34:1-3; 104 3. Paulo, Flp. 1:18-21
III. Ili Kuwa Kiongozi Bora wa Ibada ni Lazima Mtu Aelewe Kanuni na Utendaji wa Ibada kama Ulivyojionyesha katika Historia ya Watakatifu. A. Theolojia ya Liturujia 1. Theolojia ya kiliturujia hailengi hasa maudhui ya Biblia
Made with FlippingBook Digital Publishing Software