Theolojia Katika Picha
/ 5 3
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)
B. Kuabudu sio
1. Muziki mzuri pekee 2. Liturujia zinazofanywa kitaalamu 3. Seti ya vifaa bora vya muziki
C. Ibada inawakilisha lugha ya moyo uliookoka ambao unamwendea Baba kwa njia ya Mwana kwa uweza wa Roho Mtakatifu kwa ajili ya sifa na utukufu wake pekee! (Yohana 4:24).
D. Kuongoza ibada ni kuiga balbu ya GE 1. Wakati inafanya kazi kwa ufanisi zaidi, hutaweza kuiona, bali utaona matokeo ya kazi yake 2. Wakati haifanyi kazi ndio wakati pekee unapoizingatia!
II. Lengo: Kutambua na Kusifu Ukuu wa Mungu katika Kila Nyanja ya Maisha Yetu, Sifa Zetu kwa Mungu, 1 Pet. 2:8-9.
Kanuni za Kuongoza Ibada kwa Ufanisi
I. Ili Kuwa Kiongozi Bora wa Ibada ni Lazima Mtu Aelewe Asili, Kusudi, na Umuhimu wa Ibada. A. Kuabudu kama uchunguzi wa kiroho ( darash ), Ezra 4:2, 6:21 B. Kuabudu kama utii wa uchaji ( yare ), Kut.14:31; Kumb.31:12-13 C. Kuabudu kama utumishi mwaminifu ( abad ), Kut. 5:18; Hes. 8:25 D. Kuabudu kama huduma binafsi ( sharat ), Kumb. 10:8, 18:5-7 E. Kuabudu kama unyenyekevu wa kweli ( shaha ), Isa. 49:7; Mwa.47:31; Kut. 34:8 rej. Isa. 66:2
Made with FlippingBook Digital Publishing Software