Theolojia Katika Picha

/ 5 7

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)

IV. Ili Kuwa Kiongozi Bora wa Ibada ni Lazima Mtu Aelewe Hasa na Kibiblia Nguvu na Umuhimu wa Muziki. A. Nguvu ya muziki 1. Kama nguvu ya kiroho

2. Kama jambo la kiutamaduni 3. Kama mwitikio wa kihisia 4. Kama njia ya mawasiliano 5. Kama lugha ya sanaa

B. Penda muziki kama usemi wa moyo wako kwa Bwana: Zaburi 150 (ibada inapaswa kuwa isiyokatishwa, isiyochanganywa, yenye nguvu nyingi, ya moyo wote, na isiyo na mawaha).

C. Kujifunza kuwa mwanachama wa kikundi: nguvu ya mchango 1. Kikundi badala ya mtu binafsi 2. Vipengele vya mchango

a. Kukuza sikio la “sauti yetu:” kusimama katika jukumu kwenye timu b. Dashi na Mwafaka wa sauti: mbinu ya “ Lazy Susan ” ya mchango c. Kujifunza kushuka chini: kutoa sauti pale tu inapohitajika d. Lengo lako: “Ninakusudia kupiga kwenye chombo changu yote hayo ila si zaidi ya kile ambacho kila wimbo unahitaji ili kutengeneza maana ya jumla na sauti ambayo sisi sote kwa pamoja tunakusudia kutengeneza.”

D. Kuwa stadi na utumie kikamilifu Mawe ya Msingi ya Ujenzi wa muziki. 1. Mahadhi - Mdundo

Made with FlippingBook Digital Publishing Software