Theolojia Katika Picha

5 8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)

2. Mwendo 3. Tuni 4. Mwafaka 5. Maneno ya Nyimbo 6. Mienendo

E. Umuhimu wa kufanya mazoezi mara kwa mara 1. Peke yako 2. Pamoja

F. Uzoefu: fanya urafiki bora na wa kina na chombo chako

V. Ili Kuwa Kiongozi Bora wa Ibada ni Lazima Mtu Ajikite Katika Kukuza Umahiri katika Muziki na Kutambua Vipawa na Shauku katika Ibada. A. Umahiri huja kwa nidhamu: 1 Tim. 4:7-8 B. Tambua vipawa vyako bora (kwa kutumia uchunguzi na ukosoaji kwa upendo!) 1. Je, ni sauti yangu? 2. Je, ni upigaji wangu wa vyombo? 3. Je, ni vyote viwili? Au si chochote kati ya hayo ? Je, ni kitu kingine tofauti kabisa?

C. Buni mada zako za ibada, seti za muziki, na mbinu za huduma 1. Kwa kuendana na mada: kuunda viunganishi na miunganiko

Made with FlippingBook Digital Publishing Software