Theolojia Katika Picha
/ 5 9
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)
a. Maombi na sifa za ufunguzi: kuwaita watakatifu kuabudu (“Njoo, Sasa Ndio Wakati wa Kuabudu” “ Come, Now is the Time to Worship” ) b. Sherehe ya furaha katika uwepo wa Bwana (“Tunaleta Dhabihu za Sifa” “ We Bring the Sacrifice of Praise” ) c. Kuabudu na kusujudu (“Tunatangaza Ukuu wako” “We Declare your Majesty” ) d. Kujitoa na Baraka (“Inueni Mioyo Yenu” “Lift up Your Hearts” ) 2. Kwa kuendana na Neno la Bwana lililohubiriwa 3. Kwa kuendana na mahadhi 4. Kwa kuendana na mipaka yako ya muda. D. Kupangilia kila wimbo ndani ya seti yako ya muziki 1. Wimbo kama hadithi: utangulizi, katikati, mabadiliko na miisho 2. Sanaa ya uhamishaji, kubadili mwendo, kushusha sauti, nk. 3. Kutoka kwenye miteremko hadi maporomoko hadi baharini 4. Kuepuka shida ya “ukuta wa sauti” inayohusishwa na wanamuziki vijana. E. Kujifunza kumsaidia kila mshiriki wa timu ya kuabudu kutoa mchango wake wa kipekee katika muda wa ibada kupitia utu wake na kile anachofanya. 1. Usipige au kuimba tu; jisikilize na uchangie 2. Mzunguko wa kelele usioisha a. Tunapiga kwa sauti kubwa; Siwezi kujisikia b. Ninajiongezea sauti; wengine hawawezi kujisikia, wanajiongezea sauti c. Sote tunapiga kwa sauti ya juu zaidi sasa; Siwezi kujisikia d. Na kadhalika.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software