Theolojia Katika Picha
6 0 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)
F. Zingatia tofauti kati ya kupiga vizuri pekee na kuimarisha ibada ya Mwili 1. Kati ya kufanya tamasha na kuongoza ibada. 2. Kati ya kuwekea mkazo zaidi katika upigaji wako na kuchangia katika hisia na hali ya wimbo. 3. Kati ya kupendezesha wimbo wetu pamoja na kucheza ala yako.
G. Pata na utumie Seti ya vyombo Inayofaa 1. Fanya uwekezaji wa kifedha na wa kihisia
a. Upande wa kanisa: iwe sehemu ya bajeti ya kanisa b. Upande wa mwanamuziki: kuwekeza kwa busara katika nyenzo zinazofaa 2. Ubora a. Epuka vyombo vya bei nafuu b. Usimalize fedha zote kwa ununuzi wa vyombo vya hali ya juu c. Tafuta uwiano kadri iwezekanavyo kwa leo: uwekezaji wa kawaida unaweza kutoa ubora wa kiwango cha CD 3. Ladha nzuri: sanaa ya tathmini (nimepatia wapi, nimekosea wapi) 4. “Kidogo ni zaidi:” Ikiwa una shaka, jishushe ili kuleta matokeo makubwa zaidi VI. Ili Kuwa Kiongozi Bora wa Ibada ni Lazima Mtu Ajue Jinsi ya Kujenga na Kudumisha Timu Makini ya Kuabudu. A. Sauti nyingi, michango, na karama katika uratibu = wakati mzuri sana wa ibada kwa kusanyiko.
B. Umuhimu wa kuabudu kama tukio la jumuiya
Made with FlippingBook Digital Publishing Software