Theolojia Katika Picha

/ 6 1

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)

C. Kanuni ya Utatu inatumika katika ibada: umoja, utofauti, na usawa 1. Simfoni kama kielelezo cha ibada katika Kanisa la Yesu Kristo 2. Mahadhi ya Ulaya yanatawala katika makanisa ya Marekani 3. Kanuni ya Imani ya Nikea: Kanisa ni moja, takatifu, la kitume na katoliki a. Mamia ya mahadhi ya sifa b. Hutolewa kwa Mungu katika lugha nyingi c. Elimu ya muziki wa Makabila - sayansi ya muziki na kujifunza kwa binadamu d. Hakuna aina iliyo bora; aina zote zinakubalika ikiwa zinafanywa kwa kufuata maagizo ya Biblia. 4. Hatari ya kupuuza kanuni hii: utawala na nguvu ya mahadhi ya Ulaya

D. Kuwa na viwango na sera zilizo wazi kwa kila mtu anayehusika

E. Kuwa mwangalifu usiweke utaalamu kupita kiasi; sisitiza ubora lakini ruhusu ushiriki kamili wa Mwili.

F. Toa uongozi ulio wazi na wa kutia moyo wakati wote.

G. Chagua watu wa kada mbali mbali na wenye uwezo tofauti tofauti.

H. Weka mpangilio ili kuleta mafanikio na ufanisi mkubwa.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software