Theolojia Katika Picha
6 2 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Huduma ya Kusifu na Kuabudu (muendelezo)
VII. Ili Kuwa Kiongozi Bora wa Ibada ni Lazima Mtu Atumie Kwa Ubunifu Rasilimali ili Kuchanganya ya Kale na Mapya katika Ibada na Sifa. A. Wigo mpana wa kujieleza (kuonyesha hisia) katika Kanisa la Yesu Kristo 1. Kielelezo cha kibiblia cha Kundi kubwa: Ufunuo 5 (kutoka kila kabila, lugha, jamaa na taifa) 2. Ndani ya Makundi haya mengi aina nyingi tofauti huakisiwa, kuonyeshwa, na kufurahiwa a. Tofauti kulingana na wakati: mahadhi ya jadi dhidi ya mahadhi ya kisasa b. Tofauti kulingana na utamaduni: Muziki wa injili wa kusini hadi hip hop
c. Tofauti kulingana na ukubwa wa sauti d. Tofauti kulingana na maana ya muziki 3. «Mgogoro» ni halisi na wenye mantiki 4. Sio «ama/au» bali «vyote/na»
B. Kwa nini mfumo wa kuabudu kwa kuchanganya maudhui ya kale na ya kisasa ni muhimu sana? 1. Utofauti hakika ni manukato ya maisha, na asili ya nafsi ya Mungu na utendaji wake 2. Kuisikia sauti ya Bwana upya: utetezi wa mifumo ya kisasa ya ibada. 3. Kukumbuka kazi ya Bwana katika siku zetu zilizopita: utetezi wa mifumo ya kizamani ya ibada. C. Takataka za mtu mmoja ni utajiri wa mtu mwingine: dhuluma na awamu za ukabila ( ona Mdo 10: Mwitikio wa Petro na kikundi cha Kiyahudi kwa Kornelio). 1. Awamu ya kwanza: yetu inapendelewa kuliko ya kwao 2. Awamu ya pili: yetu ni bora kuliko yao
Made with FlippingBook Digital Publishing Software