Theolojia Katika Picha

8 8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kanuni ya Mbadala Mch. Dkt. Don L. Davis

Kisasili Hadithi Simulizi

Sitiari Tashihisi Taswira Ishara Utambulisho Mfano Kielelezoasili Tashbihi/ Vifananisho

Mfano Fumbo Kuigiza upya Taratibu za kiibada Liturujia Kumbukumbu Sikukuu

Mifanano Mifano Ulinganisho

Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. ~ Zab. 23:1

Bwana

Mchungaji

“Kama alivyo mchungaji kwa kondoo, ndivyo alivyo Bwana kwa watu wake.”

Uchambuzi wa Ubadilishaji wa Tamathila na Simulizi 1.  Somo kuu la hotuba au wazo la kidini 2.  Picha halisi au simulizi inayotokana na hazina ya kitamaduni au hifadhi ya picha na hadithi 3.  Analojia-kufanana-kulinganisha vipengele vilivyochaguliwa au sifa za (2) ili kuangazia asili ya (1) 4.  Uhusianishaji, ulinganisho, na utambulisho wa ndani kwa ndani au wa wazi wa hizo mbili pamoja. 5.  Uelewa mpya na uzoefu wa (1) kupitia uhusiano wake na utambulisho wake na (2) kuwakilisha maarifa mapya.

Viwango vya Uhusianishaji 1.  Uvuvio wa Roho Mtakatifu juu ya uhusianishaji 2.  Hazina ya kitamaduni ya uhusianishaji kwa manufaa ya kijamii 3.  Uhusianishaji wa kimisiolojia ili kuwasilisha ukweli. Kanuni za Uhusianishaji 1.  Hakuna uhusianishaji mkamilifu 2.  Uchaguzi wa vipengele vya kulinganisha ni muhimu 3.  Theolojia inachunguza uhusiano uliopo dhahiri na uhusianishaji unaowezekana 4.  Uhusianishaji wenye ubunifu unadai ufahamu wa kina wa picha na hadithi za msingi.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software