Theolojia Katika Picha

/ 8 9

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Karama za Rohoni Zinazotajwa Kimahususi katika Agano Jipya Mch. Terry G. Cornett

Utawala

1 Kor. 12:28 Uwezo wa kuleta utaratibu katika maisha ya Kanisa.

Uwezo wa kuanzisha makanisa mapya miongoni mwa wale ambao hawajafikiwa, kuyalea hadi yaweze kukomaa, na kutumia mamlaka na hekima muhimu ili kuyaona yakiimarika na kuweza kuzaa tena; na/au

1 Kor. 12:28; Efe. 4:11

Utume

Karama ya kipekee katika kuweka msingi wa Kipindi cha Kanisa, ambayo ilijumuisha upokeaji wa ufunuo maalum na mamlaka ya kipekee ya kiuongozi.

Uwezo wa kutumikia Kanisa kupitia uwezo uliopewa na Roho wa kutofautisha kati ya kweli ya Mungu (uwepo wake, kazi yake, na mafundisho yake) na makosa ya kibinadamu au uongo wa kishetani.

Kupambanua roho

1 Kor. 12:10

Uinjilisti

Efe. 4:11

Shauku na uwezo wa kutangaza kwa ufanisi Injili ili watu waielewe.

Uwezo wa kutia moyo au kukemea ambako kunawasaidia wengine kumtii Kristo.

Maonyo

Rum. 12:8

Uwezo wa kulijenga kanisa kwa njia ya uwezo wa kipekee wa kuona makusudi ya Mungu ambayo bado hayajagundulika na kumtegemea Mungu pasipo kuyumba ili kuweza kuyatimiza.

Imani

1 Kor. 12:9

Uwezo wa kulijenga kanisa kupitia kuwashirikisha wengine kwa furaha na kwa ukarimu rasilimali za kiroho na za kimwili.

Utoaji

Rum. 12:8

Uwezo wa kuitumia imani ambayo inalenga kurejesha afya ya kimwili, kihisia na kiroho.

Uponyaji

1 Kor. 12:9; 12:28

Uwezo wa kuelezea maana ya matamko yenye ya lugha za rohoni ili kwamba kanisa liimarishwe.

Tafsiri za lugha

1 Kor. 12:10

Uwezo wa kuelewa kweli za Maandiko, kupitia nuru ya Roho Mtakatifu, na kuzizungumza ili kuujenga Mwili; na/au Ufunuo usio wa kawaida wa kuwepo, au asili, ya mtu au kitu ambacho hakingejulikana kwa njia za asili. Shauku iliyovuviwa kiroho, hekima, hamu, na bidii ya kazi ambayo inahamasisha na kuongoza wengine ili waweze kushiriki kwa ufanisi katika kulijenga Kanisa. Huruma ya moyo ambayo humwezesha mtu kuwahurumia na kuwahudumia kwa moyo mkunjufu wale walio wagonjwa, wanaoumia, au waliokata tamaa.

Maarifa

1 Kor. 12:8

Uongozi

Rum. 12:8

Rehema

Rum. 12:8

Made with FlippingBook Digital Publishing Software