Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
/ 1 7 3
U O N G O F U & W I T O
Kuhakikisha kuwa Maudhui Yanaeleweka Segue
Kwa kutumia Mwongozo wa Mkufunzi, angalia ufahamu kwa kuulizwa maswali yaliyoorodheshwa katika sehemu ya “Maswali kwa Mwanafunzi na Majibu.” Fafanua uelewa wowote usiokamili ambao wanafunzi wanaweza kuonyesha katika majibu yao. Waulize wanafunzi kama kuna maswali yoyote waliyonayo kuhusumaudhui na myajadili pamoja kama darasa. KUMBUKA - Maswali hapa yanapaswa kulenga kuelewa maudhui yenyewe badala ya jinsi ya kutumia mafunzo. Maswali ya kutumia mafunzo yatakuwa lengo la kipengele kijacho cha Uoanishaji. Chukua mapumziko mafupi ya darasa na kisha rudia mchakato huu na sehemu ya pili ya video.
• Muhtasari wa Dhana Muhimu • Kutendea Kazi Somo na Matokeo Yake kwa Mwanafunzi • Mifano Halisi • Marudio ya Tasnifu ya Somo • Nyenzo na Bibliographia • Namna Yanavyooana na Huduma • Ushauri na Maombi
Fundisha Kipengele cha Uoanishaji
• Kukariri Maandiko • Usomaji • Kazi Nyingine
Wakumbushe Wanafunzi Kuhusu Kazi Zijazo
Made with FlippingBook flipbook maker