Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Viambatisho
107
Kiambatisho cha 8 Kristo Mshindi: Maono Jumuishi kwa Maisha ya Kikristo na Ushahidi Mch. Dkt. Don L. Davis
Kwa Theolojia na Fundisho • Neno lenye mamlaka la ushindi wa Kristo: Mapokeo ya Kitume: Maandiko Matakatifu • Theolojia kama ufafanuzi juu ya simulizi kuu ya Mungu • Kristo Mshindi kama mfumo mkuu wa kitheolojia wa maana katika ulimwengu • Imani ya Nikea: Hadithi ya neema ya ushindi ya Mungu
Kwa Hali ya Kiroho • Uwepo na nguvu za Roho Mtakatifu katikati ya watu wa Mungu • Kushiriki katika nidhamu za Roho • Mikusanyiko, somo, liturujia, na maadhimisho yetu katika Mwaka wa Kanisa • Kuishi maisha ya Kristo mfufuka katika mtindo wa maisha yetu ya kawaida Kwa Ibada • Watu wa Ufufuo: sherehe isiyoisha ya watu wa Mungu • Kukumbuka, kushiriki katika tukio la Kristo katika ibada yetu • Sikiliza na kuitikia Neno • Kugeuzwa Mezani, Meza ya Bwana • Uwepo wa Baba kupitia Mwana katika Roho
Kwa Kanisa • Kanisa ni mwendelezo wa Yesu ulimwenguni • Hazina iliyokombolewa ya Kristo mshindi, mfufuka • Laos: Watu wa Mungu • Uumbaji mpya wa Mungu: uwepo wa siku zijazo • Shabaha na wakala wa Ufalme Uliopo/ Utakaokuja Kwa Karama • Upaji wa neema wa Karama na manufaa ya Mungu kutoka kwa Kristo Mshindi • Ofisi za kichungaji kwa Kanisa • Ugawaji wa karama wa Roho Mtakatifu • Uwakili: karama za kimungu, mbalimbali kwa manufaa ya wote
Kristo Mshindi Mwangamizi wa Uovu na Mauti Mrejeshaji wa Uumbaji Mshindi dhidi ya Kuzimu na Dhambi Mponda Shetani
Kwa Haki na Huruma • Vielelezo vya neema na ukarimu vya Yesu kupitia Kanisa • Kanisa linadhihirisha maisha halisi ya Ufalme • Kanisa linaonyesha maisha halisi ya Ufalme wa mbinguni hapa na sasa • Baada ya kupokea bure, tunatoa bure (hakuna namna ya sifa au kiburi) • Haki kama uthibitisho dhahiri wa kuja kwa Ufalme
Kwa Uinjilisti na Umisheni • Uinjilisti kama tangazo lisilo na haya na onyesho la Kristo Mshindi kwa ulimwengu • Injili kama Habari Njema ya ahadi ya ufalme • Tunatangaza Ufalme wa Mungu uje katika nafsi ya Yesu wa Nazareti • Agizo Kuu: enendeni kwa makundi yote ya watu mkiwafanya wanafunzi wa Kristo na Ufalme wake • Kumtangaza Kristo kama Bwana na Masihi
Made with FlippingBook Digital Publishing Software