Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

132

Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa

Masihi Yeshua katika Kila Kitabu cha Biblia, mwendelezo

Kristo katika vitabu vya Agano Jipya 1.

Mfalme wa Wayahudi (Mt. 2:2) Mtumishi wa Bwana (Mk. 10:45) Mwana wa Adamu (Lk. 19:10) Mwana wa Mungu (Yn. 1:1) Bwana Aliyepaa (Mdo. 1:10) Haki ya Waamini (Rum. 1:17) Utakaso Wetu (1 Kor. 1:30) Utoshelevu Wetu (2 Kor. 12:9)

2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9.

Uhuru Wetu (Gal. 2:4)

10. 11. 12. 13. 14. 15. 16. 17. 18. 19. 20. 21. 22. 23. 24. 25. 26. 27.

Kiongozi Mkuu wa Kanisa (Efe. 1:22) Furaha ya Wakristo (Flp. 1:26) Utimilifu wa Uungu (Kol. 2:9) Faraja ya Waamini (1 The. 4:16, 17) Utukufu wa Waamini (2 The. 1:12) Mlinzi wa Wakristo (1 Tim. 4:10) Mtoa Thawabu wa Wakristo (2 Tim. 4:8)

Tumaini Lenye Baraka (Tit. 2:13) Mbadala Wetu (Flm. 17) Kuhani Mkuu (Ebr. 4:15) Mpaji wa Hekima (Yak. 1:5)

Mwamba (1 Pet. 2:6)

Ahadi ya Thamani (2 Pet. 1:4)

Uzima (1 Yoh.) Kweli (2 Yoh.) Njia (3 Yoh.) Mtetezi (Yuda)

Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana (Ufu. 19:16)

Made with FlippingBook Digital Publishing Software