https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 1 9 1
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
B. Kutoka kama tukio muhimu: kwa msingi wa ukombozi wa Mungu na ukombozi wao walipokuwa wageni na watumwa, watu wa Israeli wanapaswa kuwaonyesha huruma wale walio ndani ya jamii hiyo ya agano.
1. Kut. 22:21
2. Kut. 23:9
3. Kumb. 10:18-19
4. Kumb. 24:17-18
C. Kuundwa kwa jamii ya ufalme wa Mungu.
1. Kielelezo cha ya utakatifu wa Mungu, Kut. 19.
4
2. Mfano wa haki na rehema, Kut. 19:5-6.
3. Nuru kwa mataifa, Kumb. 26:18-19.
III. Sababu za umaskini katika Maandiko
A. Majanga na maafa ya asili.
1. Mahitaji ya maisha: “kufanyika maskini.”
Made with FlippingBook Annual report maker