https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 1 9 3

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

5. Tamaa ya starehe, usingizi na kutofanya kazi huleta umaskini, Mit. 20:13.

6. Mali ya mtu mvivu iko katika hali duni, Mhubiri. 10:18.

C. Ukandamizaji na dhuluma kutoka kwa wenye nguvu.

1. Bwana ameonya vikali dhidi ya ukandamizaji na unyanyasaji, Kut. 22:21-27.

2. Ni dhambi na uovu kuwakandamiza maskini, Kum. 24:15, 17-19.

3. Mungu atamwadhibu mtu mdhalimu kwa kuwatendea vibaya watu wanyonge na dhaifu, Zab. 82:1-4.

4

4. Mungu kibinafsi anatukanwa pale maskini wanapotendewa vibaya, na anaheshimiwa na mtu anayeonyesha heshima kwa maskini, Mit. 14:31.

5. Kuwaponda maskini ni kukaribisha hukumu ya Mungu, Isa. 3:13-15.

6. Ukandamizaji huvuruga na kuharibu majaribio yote ya kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu, Isa. 58:1-3.

7. Taz. Zab. 14:6; 12:5; 35:10; Met. 13:23; Ayubu 24:2-4; Mhu. 5:8; Yer.22:11-17.

Made with FlippingBook Annual report maker