https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 2 5 9
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
KIAMBATISHO CHA 15 Theolojia ya Ushirikiano ya Paulo
Muungano wetu na Kristo na Ushirikiano katika Huduma ya Ufalme Imechukuliwa kutoka kwa Brian J. Dodd. Empowered Church Leadership . Downers Grove: InterVarsity Press, 2003.
Mitume walipenda kutumia maneno ya Kiyunani yenye kiambishi awali syn (pamoja na au co- yaani kiambishi tamati ~enza).
Tafsiri ya Kiingereza (na hatimaye ya Kiswahili) ya Neno la Kiyunani
Marejeo ya Maandiko
Rum 16:3, 7, 9, 21; 2 Kor. 8:23; Fil. 2:25; 4:3; Kol. 4:7, 10, 11, 14; Flm. 1, 24
Mtenda kazi mwenza, pamoja na- ( Synergos )
Mfungwa mwenza ( Synaichmalotos )
Kol. 4:10; Flm. 23
Mtumwa mwenza ( Syndoulous )
Kol. 1:7; 4:7
Askari mwenza ( Systratiotes )
Fil. 2:25; Flm. 2
Mtenda kazi mwenza ( Synathleo )
Fil. 4:2-3
Made with FlippingBook Annual report maker