https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

2 6 0 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

KIAMBATISHO CHA 16 Aina Sita za Huduma ya Agano Jipya kwa Jamii Mch. Dkt. Don L. Davis

Aina

Kiyunani

Maandiko

Kazi

Kuhubiri Habari Njema

evangelion

Tangazo

Rum. 1:15-17

Kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Yesu

idasko

Kufundisha

Mt. 28:19

Kuingia katika uwepo wa Mungu

latreuo

Ibada

Yohana 4:20-24

Ushirika wa watakatifu

agape

Ushirika

Rum. 13:8-10

Ushuhuda wenye nguvu kwa waliopotea

martyria

Shahidi

Matendo 1:8

Kujali mahitaji ya wengine

diakonia

Mt. 10:43-45

Huduma

Made with FlippingBook Annual report maker