https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
3 1 0 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
Ili Tuwe Umoja (muendelezo)
ambalo litazidisha maelfu ya makanisa ya kiinjili ya C 1 yanayofaa kiutamaduni miongoni mwa watu maskini wa miji ya Marekani. Tutatoa utaalam wetu ili kuhakikisha kwamba makanisa haya kwa kila njia yanamtukuza Mungu Baba katika utambulisho wake wenye msingi wa Kristo, ibada na maisha ya jumuiya chini ya uongozi wa Roho, Fundisho la kihistoria, na utendaji na utume uliojengwa juu ya misingi ya Ufalme. A. TUMI itasaidia kuunda ushirikiano wa kimkakati ili kuanzisha harakati za Kupanda Makanisa mijini. B. TUMI inatafuta kuunga mkono harakati zenye nguvu zinazozalisha na kuendeleza makanisa ya C 1 yenye afya . C. Athari wazi za hili kwetu 1. Hatusajili watu kwa ajili yetu wenyewe, bali kwa ajili ya kushiriki katika kuendeleza Ufalme wa Kristo. 2. Hatumiliki maono haya, ni shauku ya Mungu kuufikia ulimwengu, na tunatoa mchango wetu kwa ushirikiano wa pamoja na wengine. 3. Mchango wetu si bora au mbaya zaidi kuliko mchango wa wengine: sisi ni watenda kazi pamoja na wengine. 4. Kazi ambayo wengine wanafanya labda inaweza kuwa muhimu zaidi na yenye matunda kuliko yetu.
Jumla ya Yote
Kwa hakika hakuna kikomo kwa kile tunachoweza kutimiza ikiwa kama timu tuko tayari kujitolea kwa kila kitu kwa ajili ya kazi yetu ya pamoja, ikiwa hatutajali ni jukumu gani tunalopaswa kufanya ili kupata ushindi, wala kujali nani atapata sifa baada ya ushindi.
Made with FlippingBook Annual report maker