https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 3 0 9
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
Ili Tuwe Umoja (muendelezo)
7. Urbano (Rum. 16:9) 8. Yesu (Yusto) (Kol. 4:11) 9. Dema (ambaye baadaye alirudi nyuma akaiacha imani), (Kol. 4:14; Flm. 24; 2 Tim. 4:20) 10. Tikiko (Kol. 4:7; Flp. 4:3) 11. Arkipo (Flm. 2)
12. Euodia ( Flp. 4:2-3 ) 13. Sintike ( Flp. 4:2-3 ) 14. Tertio (Warumi 16:22) 15. Fibi (Rum. 16:1)
16. Erasto ( Rum. 16:23 ) 17. Kwarto ( Rum. 16:23 ) 18. Trifena ( Rum. 16:12 ) 19. Trifosa ( Rum. 16:12 ) 20. Persisi ( Rum. 16:12 ) 21. Mariamu ( Rum. 16:6 ) 22. Onesiforo ( 2 Tim. 1:16-18 )
IV. Matokeo ya Kanuni za Ushirikiano katika Mwanga wa Maono ya TUMI Ili Kuwezesha Harakati Anzilishi za Upandaji Makanisa Miongoni mwa Jamii za C 1 Ambazo Hazijafikiwa Kama huduma ya World Impact, TUMI imejizatiti kuzalisha na kuwezesha kimkakati harakati za Kupanda Makanisa ya C 1 ya kienyeji yanayokusudiwa kufikia Dirisha la 80% la miji ya Marekani. Ili kufikia lengo hili, tutasaidia kuunda ushirikiano wa kimkakati kati na baina ya wamishenari na wachungaji wa mijini, wanatheolojia na wana-umisheni, makanisa na madhehebu, na watu binafsi na mashirika yenye nia ya Ufalme ili kuanzisha vuguvugu thabiti la upandaji makanisa
Made with FlippingBook Annual report maker