https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
3 7 2 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
Usomaji kuhusu Kanisa (muendelezo)
Mungu wa ukombozi. Moyo ambao hapo awali ulipiga kwa furaha wakati Stefano alipofunikwa chini ya mawe yenye damu sasa ulishangilia kwa kupigwa mijeledi na kupigwa mawe kwa ajili ya Kristo. Kutoka kwa adui huyu wa zamani, mtesaji, mkufuru ilitokea sehemu kubwa zaidi ya Agano Jipya, kauli bora zaidi za theolojia, maneno matamu zaidi ya upendo wa Kikristo. ~ C. E. Macartney in Dynamic Spiritual Leadership by J. Oswald Sanders. uk. 33-34
Made with FlippingBook Annual report maker