https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

5 2 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

d. Matendo 28:23

e. Yohana 20:30-31

4. Katika Yesu Kristo, ahadi ya Ibrahimu imetimizwa, na watu wa mataifa kupata ukombozi na wokovu kwa imani.

a. Gal. 3:7-9

1

b. Mdo 15:13-18

c. Rum. 15:8-12

III. Dondoo za mwisho za utume kama utimilifu wa ahadi ya Mungu

A. Uaminifu wa Mungu kwa agano lake ndio msingi wa agano lake na Ibrahimu na Daudi.

1. Kwa Ibrahimu, Mwanzo 17:7

2. Kwa Daudi, Zab. 89:20-24

B. Mungu kama Mshirika wa Kiungu anasisitiza shughuli ya utume: Mungu ndiye chanzo cha ujumbe na maana ya shughuli zote za utume kupitia agano.

Made with FlippingBook Annual report maker